The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 478
Habari wana Jamiiforums, kwanza ya yote napenda kuwapongeza kwa kuufikia mwaka 2019, uwe wa amani na mafanikio makubwa kwetu sote.
Nirudi kwenye maada moja kwa moja, Mada yangu nikuhusu tangazo la Tala lilolosemekana ni la kampuni ya VODACOM Tanzania na Tigo Tanzania
Tangazo hilo sasa limekuwa likitufanya tusumbuke sana na kufanya tunapotumia internet kwa kitumia simu za kiganjani iwe kero na kushindwa kufanya unachokifanya kwa muda husika,
Kwa kifupi limekuwa kero kwa watanzania tunaotumia simu za viganjani tukishaziunganisha na internet.
VODACOM na TIGO kama tangazo hilo ni lenu nawaomba mtumie magazeti, redio na tv kulitangaza ama njia nyingine mbadala isiyotucost sisi watumiaji wa simu, kwetu limekuwa na negative externalities,
Tunashindwa kufanya mambo yetu kwa wakati na kwa raha, ikiwemo kusoma au kuandika chochote kwenye simu za kiganjani,
Tunaomba mtambue kuwa matumizi ya internet kwenye simu yetu ni ya muhimu zaidi kuliko tangazo lenu linalozuia tusiendelee na tunachofanya,
Kutoa claim hii pia Tala mmenidisturbo sana kuliko kawaida.
Mamlaka husika TCRA iliangalie hili, watanzania tumechoka kuteswa na matangazo ya kutulazimisha tusome bila idhini yetu huku yakifunika kabisa sisi tunachokihitaji.
Niusumbufu na watanzania tumechoka kuteswa na hilo tangazo.
Kama siyo la Vodacom na Tigo kama linavyojieleza TCRA tunawaomba mlifanyie kazi haraka na mlifutilie mbali, tumelichoka kweli kweli.
Asanteni sana.
Heri ya mwaka mpya 2019.