Kwanini Usi-like?

Kwanini Usi-like?

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,229
Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni kwa sisi waanzisha nyuzi kutokuonyesha kuwa tumefurahi kwa wao kutumia muda wao kuchangia kwenye nyuzi zetu. Ushauri wa Bure: member akichangia kwenye uzi wako fanya ku-like mchango wake; kwa kutumia muda wake na kuona haja ya kuchangia kwenye uzi wako. Mfano mzuri mimi mtu akichangia kwenye uzi wangu nampa 'Like' kila anapochangia...Na hilo limefanya nipate like nyingi kwenye nyuzi zangu...Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuchangii maana kama likes tutapata kule kwenye uzi wa kucomment chochote upate like
Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni kwa sisi waanzisha nyuzi kutokuonyesha kuwa tumefurahi kwa wao kutumia muda wao kuchangia kwenye nyuzi zetu. Ushauri wa Bure: member akichangia kwenye uzi wako fanya ku-like mchango wake; kwa kutumia muda wake na kuona haja ya kuchangia kwenye uzi wako. Mfano mzuri mimi mtu akichangia kwenye uzi wangu nampa 'Like' kila anapochangia...Na hilo limefanya nipate like nyingi kwenye nyuzi zangu...Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe sitaki like yako sema imenibidi tu nicomment ili nikuambie uzi wako ni wakiboya.
 
Watu wabaya..mpaka sasa hujapata like
 
Back
Top Bottom