Nchi hii wajinga bado ni wengi sana

The Sapiens

Member
Dec 31, 2018
93
86
Hawa jamaa nadhani elimu yao haijawasidia chochote.
Inasikitisha sana baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru,ujinga bado ni tatizo.
tapatalk_1546718562554.jpeg
 
Na wana muda wa kupoteza.
Kiongozi mzuri huwezi kulazimisha kupendwa na watu. Utumishi uliotukuka ndiyo uwe kigezo cha kupendwa siyo haya maigizo ya kutengenezwa makusudi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa nadhani elimu yao haijawasidia chochote.
Inasikitisha sana baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru,ujinga bado ni tatizo. View attachment 987242
Mkuu Hii post yako imeniharibia siku nilijua upuuzi huu umeisha kumbe bado sasa shule c zinafunguliwa jtatu na mialimu c inatakiwa iwe darasani mh majaliwa susia upuuzi bado unaheshimika acheni watu wafanye kazi hizi talantatalila za maandamano c mmezipiga marufuku jamani kwa kisingizio cha watu wafanye kazi ?

daaah Hii post imeniboa sana
 
Ndio hivyo mkuu,kwao wao maandamano ya kusifia yanaruhusiwa muda wowote.
 
Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo mkuu,kwao wao maandamano ya kusifia yanaruhusiwa muda wowote.
wajue wanatengeneza kizazi cha wanafiki mialimu inalalamika kila siku humu haijapandishwa madaraja leo inaenda kusifia upuuzi mialimu daah acheni upopoma
 
Back
Top Bottom