Fahari account CRDB Bank

Fahari account CRDB Bank

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Wadau habarini za weekend, wenye kujua naomba wanipatie elimu, CRDB Bank kuna account inaitwa FAHARI ACCOUNT, katika kuipromote wanasema haina makato kwa mwezi.

Nilimfungulia mdogo wangu mwezi jana, akaanza kudunduliza kidogokidogo, kwa jumla ya pesa aliyokuwa ameweka, leo ameangalia salio akakuta kuna pungufu ya 8,000 inamaana inakuwa imekatwa.

Swali langu, ni kweli FAHARI ACCOUNT haina makato? Kama haina, na kufungua akaunti ni bure, makato ya 8,000 yametumika kama gharama za kitu gani?

Mwenye kujua naomba anielimishe.
Cc @crdbbank
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom