Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale wanaofuatilia ratiba wakasema ni live ila tu Azam tv wao hawapendi hilo neno liwepo.Sasa Azam kama wao hawapendi kwa nini wasifuate wateja wanavyotaka?TV zote duniani zinapotangaza jambo jipya hasa mpira neno live ni muhimu kwa sababu linamwezesha anaeangalia ajue kuwa ni habari ya zamani au mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app