Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.

Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....
 
Uhakikia maji No. 1 ni Afya! Kilimanjaro hayafai kwa mstumizi ya binaadamu. Afya ukinywa hayakereketi kabisa.
 
Masafi.Sayona na Afya" nayapenda "... kwa sababu bei yake inazingatia kipato cha wananchi wa kima cha chini ... nakuweza kutoa fursa ya kutumiwa na watu wote ...

Pia naya penda maji ya afya na sayona "yale ya kwenye chupa ya litre1 kwakuwa na vutiwa na muonekano (muondo) wa chupa yake .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom