Serikali kupitia wizara yako mheshimiwa January makamba kama muliweza kudhibiti viroba hebu liangazieni na hili la mifuko ya plastic

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,553
9,530
Niseme tu kwa sasa hali ya mazingira ni mbaya sana kila kona pametapakaa mifuko ya plastic si mjini si vijijini kila kona mifuko serikali kupitia wizara ya mazingira hebu liangalieni na hili bila kudhibiti hii mifuko kama wenzetu kenya wameweza hata sisi tutaweza mlithibiti viroba ingawa maumivu kwa wengi yalitokea hata hili fanyeni hivyo hivyo la sivyo miaka ijayo tutakuwa dampo la plastic kuanzia ziwani mpaka mitoni plastic zimetapakaa
Nawasilisha mzee wa kikongoman
 
Back
Top Bottom