Hilo mbona zuri? Magari yanayoenda olasiti(arusha) mengine hayana mlango kabisa! Mlango ukidondoka barabarani wanauweka pembeni na kuendelea na safari hadi ruti ya mwisho (usiku) ndiyo wanaurudia! Ila si salama kabisa!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.