Hivi Dr Shika yupo nchi hii?

Hivi Dr Shika yupo nchi hii?

nyangindo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
366
Reaction score
339
Ndugu,kama kuna mtu ye yote mwenye habari za mzee wa mia tisa itapendeza zaidi (Dr Shika) hebu atujuze maana nimemkumbuka sana pale nilipoona miche ya dhahabu iliyokamatwa kule Mwanza,nikadhani isije kuwa ni ile miche aliyosema anaimiliki Dr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
choka mbaya
IMG-20181226-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom