johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nimewahi kufuatilia ukamataji na uletwaji mahakamani wa watu mbalimbali na nilichoshuhudia si kila mtuhumiwa anafungwa pingu.
Mfano Mh Mbowe na mh Matiko hawafungwi pingu.
Mramba na Yona sikuwaona na pingu.
Na hata mwandishi Jerry Muro wakati ule alishtakiwa kwa kukutwa na pingu.
Ndiposa najiuliza pingu ina maana gani hadi viongozi watishiane kufungana pingu?
Mwenye majawabu tafadhali!
Maendeleo hayana vyama.