Serikali imefanya makubwa kuhusu maendeleo mfano, Vituo vya afya, Barabara, Hospitali, SGR, Umeme etc. Sasa ni wakati wa Serikali kuhamia kwenye ELIMU. Sekta ya elimu inakabiliwa na upungufu...
MKURUGENZI Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dk Samuel Gwamaka amesema baraza limeshachukua tahadhari zote za kimazingira kabla ya kuanza ujenzi wa mradi mkubwa...
Kuhusu kilichojiri siku ya jana haya hapa ni mawazo yangu,
Kwanza msichokijua tu he is no longer an asset.
Hiyo inaitwa piga nikupige kuna mawili jiwe anayoweza kufanikiwa/kujiharibia...
Salaam Wandugu!
Ni Miezi minne sasa tangu Nilipie huduma ya Kuunganishiwa Umeme na Tanesco Mbeya Mjini lakini mpaka Sasa Sijaunganishiwa kila nikienda Ofisini kwao wananipa sababu za Kijinga tu...
Hii imetokea this week kuna Rafiki yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advance mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM
mimi baada ya kumaliza...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, amepiga marufuku tabia ya Maafisa Uhamiaji hasa waliopo mikoa ya mipakani kuwatambua Wahamiaji haramu kwa kigezo cha pua ndefu, kuimba wimbo wa Taifa...
Kwa mtu ambae anaitaji kufungua banda la chipsi na Chalange kwake ipo kwenye vifaa,
Nina vifaa vyote ikiwemo .
--Kabati la kioo ngazi mbili ni kubwaa.
--jiko la kupikia
--jiko la pembeni kwa...
Wanafunzi kidato cha kwanza Arusha kusoma kwa zamu
SUNDAY JANUARY 6 2019
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha...
Asalam alekhum, bwana yesu asifiwe, tumsifu yesu kristo , namaste
Najivunia kuwa mtanzania ,najivunia kuwa mwafrica na najivunia kuzaliwa Africa.
Kwa umri huu mdogo nilionao najiona mwenye...
Nini tofauti ya imani hizi mbili
1:Islam
2:Roman catholic(RC)
Zote zinamuabudu Mungu,ila tofauti ni majina tu mmoja anaita Mungu kama God mwingine Mungu Kama Allah,
Imani zote zina muktadha...
Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni...
SEARCH
MENU
Phenomenol success of Bt cotton in India makes case for GMOs in developing world
Ashok Chowgule | Swarajya | November 13, 2015
How has the cotton industry of India fared since...
Waingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani...
kumekuwa na tabia ambayo nimeanza kuiona ambayo si njema kwa sisi vijana katika ufikiri na kujituma kwetu katika kulijenga taifa letu, tabia hiyo ni kujitoa ufikiri hasa pale kunapotokea migogoro...
Naomba niende kwenye mada.
Semina hizi karibu kila mwaka tunasikia zikitangazwa(kupigiwa debe).
Mimi si mtumwa ni huru. Hivyo niko huru kuhoji jambo lolote bila kujali ni la kiimani, kisiasa au...
wakuu vipi lapf wao wanasemaje kuhusu hili fao la kijitoa? kwa sababu mwanzo wao walikuwa wakilitoa je kwa saiv wataendelea nalo? au kama mti kwsha fika office zao atujuze.
Sent using Jamii...
Mzuqa wanaJF!
Dah aisee hii idea imenijia ghafla baada ya kufanya research mtandaoni.
Unajua ukiwa bado kijana nikutumia fursa ambazo ziko mbele yako kujenga CV ukiwa hai.
Japo sisi wabongo...
Kufuatia uchumi wangu,kushuka rasmi naanza kunywa pombe za kawaida.Wajuzi wanielimishe madhara kuchanganya pombe kama Kvant,Konyagi na energy drink kama Redbully,Azam Energy,Kunfu nk
Sent using...