TAARIFA YA UKARABATI WA MASHINE KITUO CHA KUFUA UMEME KWA GESI CHA UBUNGO II
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kuanzia Januari 9, 2019 hadi Februari 13, 2019...
Nimeikuta hii tabia Songea, hivi aliyekuja na hili wazo alikuwa anawaza nini? Maana ni hatari zaidi kuvaa helmet kuliko kutovaa? .Kuna fangasi wa kichwani na magonjwa ya ngozi watu wanaambukizana...
Tanzania Mungu katujalia kuwa na maji ya kutosha na ardhi ya kutosha sana. Kwa Africa Tanzania ni ya pili baada ya DRC kwa kuwa na maji baridi mengi. Maji haya mengi yapo kwenye ziwa Tanganyika...
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na...
Jamani wana JF,
Naombeni msaada kwa hawa TANESCO nifanyeje coz nililipia kufungiwa umeme tangu mwezi wa 9 tr 19 mpaka leo tr 19 mwezi 12 sijaona kitu chochote kikifanyika, nimejaribu kufuatilia...
Mimi ni mtumiaji mkubwa wa mabasi kwa safari zangu nyingi za mikoa tofauti.
Lakini majuzi trh 29 December 2018 nilisafiri na basi la Kisesa (Kwa jina) lakini biashara inaendeshwa na zuberi kwa...
Naomba kujuzwa wadau na wajuz wa sheria no IPI sheria na hukumu ya MTU anaekutumia mesej za matusi via messenger message na kuptia watu ...nikitaka kumfungulia mashtaka ..ushahidi wa message nnao...
Jamani hii njia ya kuangalia faini za magari makosa ya usalama barabarani imekuwaje? Siku kama tano hivi haifanyi kazi, je wamebadili utaratibu? anayejua atujuze.
Wanajukwaa, nimeanzisha uzi huu tuzungumze kuhusu usalama vivuko vya pantoni kuelekea kigamboni. Je serikali inachukua hatua stahiki kuhakikasha vivuko vinakuwa salama zaidi,? Je huduma za vivuko...
Nimesononeka sana baada ya kuona Tanzania inatapeliwa kwa kusanifiwa jengo la stesheni ya SGR ambalo binafsi naamini ni moja ya vituo ambavyo muonekano wake kwa nje ni wa ajabu sana. Hivi hakuna...
DAR ES SALAAM IMEANZA KUPOTEA MIDOMONI MWA WATU..!
Kwanza nianze kwa kutoa salamu kwa jf member wote heri ya mwaka mpya,Pia tushukuru Mungu kutuweka hai mpaka muda huu...!
Kama kichwa cha...
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, “kuzima” mkakati wake wa kuchelewesha kesi ya kupinga...
Hivi unafikiri duniani umekuja kufanya nini? Au Wewe kwa mawazo na akili yako unafikiri duniani hapa umeletwa kuja kufanya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai kuwa wengi ni wazima humu jamvini.
Niende kwenye mada.
Majuzi nilienda kununua TV duka fulani Kariakoo,
Ikawashwa kwa majaribio na ikawaka.
Nilipofika nyumbani nimeiwasha, imeonesha kwa...
'Kwa kipindi cha karibu kumekuwa na msisitizo mkubwa sana katika masomo ya sayansi, jambo ambalo ni nzuri sana kwa kupata wataalamui ambao ni adimu katika tasnia hii, lakini pia sisi kama wazazi...
1. Ubabe wa Kujenga
2. Uonevu wa Kujenga
3. Ukakamavu wa Kujenga
4. Bakora nyingi za Kutia Adabu
5. Mateso ya Kujenga
6. Kupikiwa Vyakula Vibovu na Vichache ili Kujenga Uvumilivu
7. Kupewa Kazi...