Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rejea kichwa hapo juu Kinyerezi mwisho maarufu kwa Kanga kwa Mjeshi, baada ya daraja mbili kulia Kuna dampo kubwa linanuka, ajabu zaidi Kuna harufu Kali,na gari la taka linaendelea kutupa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wkend Wakuu,nawezaje kujua kiasi cha pesa ntakacholipwa NSSF kutokana na makato ya mshahara wangu bila kwenda ofisini kwao. Namaanisha kuangalia online. Natanguliza shukrani. Sent...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Rejea kichwa hapo juu Kinyerezi mwisho maarufu kwa Kanga kwa Mjeshi, baada ya daraja mbili kulia Kuna dampo kubwa linanuka, ajabu zaidi Kuna harufu Kali,na gari la taka linaendelea kutupa...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Nadhani wengi tumemsikia rais wa Brazil jair bolsonaro akiamrisha kufukuzwa kazi kwa watumishi wa umma ambao hawaungi mkono siasa zake! Rais huyo ameagiza watumishi wote wa umma ambao hawamuungi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa 1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia 2. Singeli, watu wanaimba...
5 Reactions
129 Replies
14K Views
Ukitaka kujua athari tunazopata Tz kwa uamuzi wa tcra kuzuia baadhi ya watoa huduma za ving'amuzi angalia channels za jirani zetu Kenya Channel kwa channel KTN,Citizen,K24,nk....wana mada nzuri...
1 Reactions
77 Replies
9K Views
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza. Na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Ndungu zangu kwa majina naitwa Marathon Muziki, kijana ambaye ni Msanii underground but kuna shida moja imenikumba mara 3 kupitia instagram. Hivi karibuni instagram ilitangaza kuboresha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzozo ulioibuka baina ya Spika Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad limepelekwa ngazi nyingine baada ya kongozi wa chama cha ACT- Wazalendo...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Mambozz, Naomba kuuliza swali la msingi. Hv tunaponunua LUKU kwa mitandao ya simu au kwa MaxMalipo tunakatwa kiasi gani au asilimia ngapi ya kulipia huduma hiyo? Maana nimegundua nikiwa na salio...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
3 Reactions
38 Replies
4K Views
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) linajenga mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 400 ambao utatosheleza mahitaji ya nishati hiyo katika jiji la Dodoma. Akikagua mtambo huo unaojengwa katika eneo la...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kenya ni jirani mwema lakini pia ni mshindani wetu kwenye nyanja za kiuchumi hususan utalii. Namna moja ya kushindana nao kwenye sekta ya utalii ni kutangaza na kutembelea vivutio vya kwetu, sio...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Marangu Coach, ambalo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Arusha, limepata ajali leo Januari 11, 2019 nje kidogo ya maeneo ya Uwanja wa ndege wa...
0 Reactions
18 Replies
52K Views
Ila sijui mtu unaingiaje huko Naombeni kibali au sijui nini nipate nami nifike nikae nimsikilize na kumuona Rais wetu leo. Sijawahi kukutana nae hata kumuona zaidi ya pichani, video na news n.k...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
Nasikia tu watu wanaisifia kwa sifa nyingi, ni zipi hizo ebu nijuzeni na Mimi nijue
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Abiria wengi wakitaka kukata ticket ya shirika la ndege nahisi hatua ya kwanza huwa ni kutembelea tovuti yao. Tovuti ya ATCL japo sio mbaya ina mapungufu mengi mno ambayo yanamkatisha mtu tamaa...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
  • Closed
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi...
16 Reactions
430 Replies
45K Views
Waziri wa Kilimo tunaomba tulipeni hela za korosho tuwai kulimia(palizi), kufyekea vinginevyo kutatupunguzia kilo mwakani Suala la uhakiki wa mashamba mfanye baadae nawashauri. Sent using Jamii...
1 Reactions
3 Replies
800 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…