Video: DC Mwanga adata, asema twende tukafurahie vivutio vya utalii vya Kenya!


T

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Messages
1,885
Likes
782
Points
280
T

Taso

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2010
1,885 782 280
Kenya ni jirani mwema lakini pia ni mshindani wetu kwenye nyanja za kiuchumi hususan utalii.

Namna moja ya kushindana nao kwenye sekta ya utalii ni kutangaza na kutembelea vivutio vya kwetu, sio vya Kenya, na pia kupinga propaganda za miaka mingi za Kenya kutangaza vivutio vya Tanzania kama viko kwao, sio kuwasaidia kuwatangazia.

Pamoja juhudi za serikali kujaribu kukuza utalii na kupambana na ushindani dhidi ya Kenya katika kila nyanja mpaka hata kuchoma vifaranga vyao na kupiga pini ng'ombe zao, na kumtimulia mbali bidada waliyetaka kumleta ku run Vodacom kaibuka DC mmoja huku, Aaron Mbogho, anasema twende milimani ili tuone mbuga ya Tsavo West ya Kenya na Ziwa Jipe ambalo yeye anasema liko Kenya.
Mzee Magu, mteme huyu clown fasta, anadhoofisha mapambano, please.
 

Forum statistics

Threads 1,250,106
Members 481,224
Posts 29,720,833