Kigali Ina maajabu gani?

Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,106
Likes
29,434
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,106 29,434 280
Hakuna mifuko ya plastic kitu ambacho hata wazungu wanajiuliza wameishindaje hii wakati wao wanashindwa?
Lingine Rushwa

Sent from my SM using Tapatalk
Ile mifuko inakera sana, sisi tunaangalia zaidi kodi kuliko mazingira.
 
Manofu

Manofu

Senior Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
168
Likes
282
Points
80
Manofu

Manofu

Senior Member
Joined Nov 3, 2018
168 282 80
Ile nchi natamani siku nifike niwaone tu wanawake walivyo maana huku mitandaoni hawa wadada kila unayemuona ni mzuri sasa sijui ni kweli!!
Wala sio kwamba wote ni wazuri ila 70% ya wadada wote wa uku ni wazuri ila ata wabaya wapo. Nikama dar ukimuona owoya, joketi, shilole cjui wema unaweza fikili kila mdada tanzania ni mzuri kumbe nchi imejaa sura za naibu spika.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
15,358
Likes
13,401
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
15,358 13,401 280
Chigari yetu...turi kumwe.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,965
Likes
7,146
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,965 7,146 280
Ile mifuko inakera sana, sisi tunaangalia zaidi kodi kuliko mazingira.
Ina haribu ardhi na hata samaki wanakufa na mifugo wanaathirika sana wakimeza
Inakera sana
Ni nchi kama 20 tu duniani wameweza lakini hawa jirani kiboko

Sent from my SM using Tapatalk
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,965
Likes
7,146
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,965 7,146 280
Nimechimba kidogo nikaona unaweza kuanzisha biashara na kumaliza kila kitu kwa masaa 48 tu, ambapo kwa high income countries inachukua siku 11.1 kusajili biashara.

Lingine ni kuwa na bunge lenye wanawake wengi duniani ambapo linawakilishwa na 64%

Bado bado 91% ya watoto wanasoma

Niendelee?
Wananchi 1m wameondokana na umasikini wa kutupa baada ya kugawiwa ng'ombe kila familia hiyo kusaidia watoto wasipate utapiamlo, ni maziwa kwenda mbele

Life expectancy imeongezeka kwa miaka 10 baada ya maisha kubadilika duu
Kwa kweli wanahitaji hongera

Sent from my SM using Tapatalk
 
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,666
Likes
9,664
Points
280
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,666 9,664 280
Nimechimba kidogo nikaona unaweza kuanzisha biashara na kumaliza kila kitu kwa masaa 48 tu, ambapo kwa high income countries inachukua siku 11.1 kusajili biashara.

Lingine ni kuwa na bunge lenye wanawake wengi duniani ambapo linawakilishwa na 64%

Bado bado 91% ya watoto wanasoma

Niendelee?
Wananchi 1m wameondokana na umasikini wa kutupa baada ya kugawiwa ng'ombe kila familia hiyo kusaidia watoto wasipate utapiamlo, ni maziwa kwenda mbele

Life expectancy imeongezeka kwa miaka 10 baada ya maisha kubadilika duu
Kwa kweli wanahitaji hongera

Sent from my SM using Tapatalk
Bongo mwaka unaisha nahangaika kufungua kampuni. mwaka unaisha NIDA hawajanipa kitambulisho. Bongo watu kwenye ofisi za serikalo na vitambo vyao wanajiona mabosi na miungu watu.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,965
Likes
7,146
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,965 7,146 280
Bongo mwaka unaisha nahangaika kufungua kampuni. mwaka unaisha NIDA hawajanipa kitambulisho. Bongo watu kwenye ofisi za serikalo na vitambo vyao wanajiona mabosi na miungu watu.
Ni ujinga wao wakati wenzetu wanaendelea sisi wengine wanawaza wamuweke nani ndani na biashara gani ife

Huwa nashangaa sana hao waliopewa majukumu
Ndio maana Rais amelizungumzia hilo kuwa hizo ofisi sio zao
Unamkuta mtu ukimsalimia kakunja uso utaikiri mligombana
Na wengine wanaweza kukuambia ofisi yetu haihusiki maana kuna wengine hawajui hata ofisi yake inahusika na nini

Pole mkuu maana tunajifanya wajanja wakati ni tunapoteza mapato na kuzidi kurudi nyuma siku hadi siku

Sent from my SM using Tapatalk
 
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
3,575
Likes
4,232
Points
280
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
3,575 4,232 280
Hakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
 
mwamgogwaferdinand

mwamgogwaferdinand

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2017
Messages
350
Likes
406
Points
80
mwamgogwaferdinand

mwamgogwaferdinand

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2017
350 406 80
Hakuna nchi ya kijinga kama Rwanda nchi ambayo ukimsema vibaya Kagame kesho unauawa.nchi ambayo ukionekana unakula Mara 3 wanajua wewe ni mgeni nchi ambayo mchana tunakula kivuguto ndio Lunch Nchi ambayo ndizi tunauziwa kwa kupima ktk kilo kitu cha maana huku Rwanda ni wanawake zao kuwa na maji tu ( Natural water ) tak*o mbili tu atamwaga maji mtakosa pa kulala.
Rwanda ni nchi ambayo Hotel na Guest house zote zina maturubai ili wanaomwagana maji wasiharibu magodoro
Mji wa kawaida tuu ukitoka mjini kilomita nne unakutanyumba zaajabu sana watu wananjaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
3,575
Likes
4,232
Points
280
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
3,575 4,232 280
Mji wa kawaida tuu ukitoka mjini kilomita nne unakutanyumba zaajabu sana watu wananjaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kaka ni mji wa hovyo sana km 50 upo border ya Uganda km 200 uko Congo yani siku 1 namaliza Boda zote na gari ndogo ni nchi ya kusadikika ukija huku utajiuliza hiyo nchi ipo wapi?
 
Forum statistics

Threads 1,251,658
Members 481,834
Posts 29,779,535