Msaada juu ya utumiaji wa mtandao wa Instagram account sasa

Sep 17, 2018
25
23
Habari Ndungu zangu kwa majina naitwa Marathon Muziki, kijana ambaye ni Msanii underground but kuna shida moja imenikumba mara 3 kupitia instagram.

Hivi karibuni instagram ilitangaza kuboresha huduma zao kwa kuongeza vipengele vipya na kututaka kuupdate ili kufaidika na huduma hizo mpya.

Juzi kati nimechukua hatua ya kuupdate instagram yangu but baada ya muda akaunti yangu ikapotea baada ya kupost tu.Mwanzo nikajua nimeibiwa account ikabidi nifungue nyingine but leo asubuhi imepotea tena.Now nimefungua nyingine pia navyoongea hapa imepotea.

Naomba kujua nini tatizo au kuna sheria mpya za Instagram?

Naomba niambatanishe jinsi inavyokuwa na ukibonyeza kuweka number inakuja neno unexpected error imetokea.
Screenshot_2019-01-06-10-48-09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom