Bilioni 30 za dhahabu iliyonaswa zijenge flyover KAMATA junction haraka sana


I

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
2,434
Likes
1,250
Points
280
I

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
2,434 1,250 280
N

nsasa

Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
50
Likes
38
Points
25
N

nsasa

Member
Joined Oct 22, 2015
50 38 25
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Tuna priority nying zaid ya ujenzi wa barabara jaman
Omba hela ata ya ujenz wa reli ya kati standard


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
Sijaelewa INA maana hao watu
walikuwa wanaisafirisha pasipo ruhusa au vibali?au aina ya usafiri ndio iliwaponza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dhahabu ya bilioni 30 unapoisafirisha kwa njia ya panya inamaanisha umekamilisha taratibu zote, si ndio eeh?
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,492
Likes
558
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,492 558 280
Wewe mwehu kwani dar kuna machimbo ya dhahabu? Ipelekwe kwenye machimbo wajenge hata barabara km 30, za mitaa

Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
kila kitu dar, huna kwenu nini?
Sasa nimezaliwa Dar na nimekulia Dar, na naendelea kuishi Dar, sipajui kwingine kokote, unataka nihamie wapi kwani? Maana hapa mimi ni kwetu, au unataka nihamie walipotokea wazazi wangu? Ili iweje..
 
Musundi

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
465
Likes
706
Points
180
Musundi

Musundi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
465 706 180
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280

Forum statistics

Threads 1,250,095
Members 481,224
Posts 29,720,580