Ushauri: ATCL sasa boresheni tovuti yenu

Ushauri: ATCL sasa boresheni tovuti yenu

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,077
Abiria wengi wakitaka kukata ticket ya shirika la ndege nahisi hatua ya kwanza huwa ni kutembelea tovuti yao.

Tovuti ya ATCL japo sio mbaya ina mapungufu mengi mno ambayo yanamkatisha mtu tamaa.

ATCL angalieni website za wenzenu Kenya Airways, Ethiopian au hata Rwandair.

Hongereni kwa kupata ndege mpya saiv boresheni website yenu iwe professional Zaidi!
 
Back
Top Bottom