Habari wana JF,
Nisipoteze muda, acha nijikite kwenye mada husika (kama kichwa cha hoja kinavyojieleza). Mtuwie radhi sisi tunaouliza ili tujifunze, ukizingatia tulikimbia shule mapema sana...
Tunapouanza mwaka mpya wengine tunaona kama Januari 2018 ilikuwa jana, si jambo la kushangaza namna muda unavyokwenda kasi. Ghafla unajikuta katika mwaka mwingine na watoto wanaongezeka kimo na...
Usiku wa kuamkia leo saa nane hivi, vibaka wamevunja dirisha na kuiba TV tu ila hawajasababisha madhara mengine.
Je, hivi vingamuzi vina namba na TV pia, hakuna uwezekano wa kutambua huko...
Nssf huwa mnalazimisha watu kuweka pesa kwenye mifuko yenu, Manager mmoja wa Tukuyu alikuwa mkali kupitiliza kiasi japo ukali wake ulikuwa hauna maana coz alikula pesa za wachangiaji fulani hadi...
Habarini za usiku huu
Naombeni kujua je ntakuwa salama kwa kiasi gani kwenye kuitumia JF
Je endapo nafungua e-mail ya uongo, then naitumia kufungulia account jamii forum, je hakuna uwezekano wa...
January 11, 2019 Mfanyabiashara Mohamed Yusufal aliyetajwa na Rais John Magufuli kuiba Mil.7 kwa dakika na mfanyakazi wake, Arital Paliwala wamesomewa mashtaka 600 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Wakuu kwa namna moja ama nyingine mtakubaliana na Mimi.
Mkuu wetu wa nchi hajawahi kudanganya, ana silka ya usema kweli,
"He is honest smart guy"
Nani hajui na hajawahi kusikia Mh. John enzi...
Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa, nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi za kibarua nazo nakosa.
Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na...
Wengi naona wanaweka profile zao picha mbali mbali.leo tuambiane maana zake
Mimi yangu ina msosi flani na panya wa kukaanga safi.
Maana yake ni kuwa kuna nyakati nilikuwa kilimanjaro kimaisha...
Promota Wa Ngumi Za Kulipwa Nchini Jay Msangi Jana ameondoka Tena Kwenda Na Bondia Denmark. Je Wenzangu Mmepata Yale Majibu ya Tuhuma za Prmota Huyu Wa Ngumi Za Kulipwa Kuwadhulumu Fedha zao wale...
heshimu pesa-usizipende
Kwa mpishi,kisu chenye makali Ni kifaa muhimu.lakini kisu hicho hicho kinaweza kuleta madhara makubwa kikiwa mikononi mwa mtu asiye na ujuzi au asiye makini.PESA Ni kama...
NI umbali wa kilomita 20 kutoka Lushoto mjini, kunakopatikana Jiwe la Mungu’ kivutio hicho chenye unyayo wa binadamu, ambao unaoelezwa kuwasababisha watalii wengi kuona kwamba ni ‘maajabu ya...
Habari,
TBC
Nawapongeza TBC kwa kutuletea TBC3 ambayo kupitia kipindi cha SAFARI TANZANIA, Tunafaidi na kujifunza vivutio vyetu katika hifadhi za Taifa, hivyo akina sisi tunahamasika kutembelea...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa, imekamata nguo zinazofanana za sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi.
Akizungumza na waandishi na kamati hiyo mjini hapa leo...
Unanunua kifurushi cha internet 8gb mchana 3gb usiku 5gb,unarudi home ukijua mechi zote live utona, lkn ukishajiunga tu na internet inapotea labda uwe karibu na maeneo ya ofisi zao,mbaya zaidi...
Spika Ndugai umesikika tena ukitamba eti CAG prof. Assad asipotii amri yako batili ya kwenda mbele ya kamati ya maadili ya bunge, utamshangaza.
Utamshangaza kwa lipi? Huna uwezo wa kumfunga jela...
Dunian kuna sheria na kanuni nyingi, kila jamii, taasisi,serikali n.k ina sheria zake ya kipi ni halali kufanya na kipi sio halali kufanya.
Sheria na kanuni hizi zipo ili kuleta mahusiano mazuri...
naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...