Tumeibiwa TV inchi 32 Goba Dar, hivi hakuna uwezekano wa kuifuatilia huko inakoenda kutumika?

Pole sana mkuu, sidhani kama kuna teknolojia ya kujua tv ilipo. Kama wamechukua pia kingamuzi hicho nadhani kuna uwezekano wa kujua kilipo kikitumika kwa msaada wa kampuni ya kingamuzi husika.

Ushauri tu pengine ni kukatia bima vitu vya thamani ili kupunguza hasara. Labda niulize nyumba haikuwa na watu au? Walitumia mbinu gani ya kutokusikika.
 
ai
Usiku wa kuamkia leo saa nane hivi, vibaka wamevunja dirisha na kuiba TV tu ila hawajasababisha madhara mengine.

Je, hivi vingamuzi vina namba na TV pia, hakuna uwezekano wa kutambua huko inakoenda kutumika? Mfano eneo na kingamuzi inachotumia?

Kama Polisi hawana kitengo maalumu cha IT kufuatilia matukio kama haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
aise kwenye tv huko kugumu hapo wameshafaidika
 
Nadhani ni wakati wa kufanya zoezi la kuwasaka kwa udi na uvumba na kuwamaliza vibaka kwa namna yoyote.

Uchumi hauwezi kukuwa kama kuna watu wanakaa bila kufanya kazi na nguvu wanazo za kutosha. Wanasubiri wanyonge watafute wao wakawaibie.

Tuwakatae vibaka na wezi wote na kuwamaliza kabisa bila huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku wa kuamkia leo saa nane hivi, vibaka wamevunja dirisha na kuiba TV tu ila hawajasababisha madhara mengine.

Je, hivi vingamuzi vina namba na TV pia, hakuna uwezekano wa kutambua huko inakoenda kutumika? Mfano eneo na kingamuzi inachotumia?

Kama Polisi hawana kitengo maalumu cha IT kufuatilia matukio kama haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kuipata kama ulirekodi serial number ya king'amuzi na ya TV. Kama unazo, nenda karipoti polisi watakuelekeza kwa kampuni fulani ambayo wanafuatilia na kuipata endapo tuu itawashwa hata kwa king'amuzi kingine. Ikipatikana unaitwa unalipia ada kidogo unakabidhiwa then wezi wanahangaika na polisi. Niliwahi kuipata simu ya ndg iliyoibiwa kkoo na kupatikana dodoma.
 
Mi ndugu yangu aliibiwa hukohuko na akawapata.. We nenda polisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hizo walivyokata dirisha na kuchomoa TV
Screenshot_20190112-194513.jpeg
Screenshot_20190112-194518.jpeg
Screenshot_20190112-194531.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameiba tu TV king'amuzi wameacha mkuu.

Back
Top Bottom