Hakika kuwa uyaone. Leo nimeyaona. Sio maghorofa wala madege makubwa bali ni maajabu yaliyotokea kwenye mtandao wa Instagram.
Mpaka kufikia jana picha iliyokuwa inaongoza kuwa na likes nyingi ni...
Mtoto wa Muzungu akicheza bila viatu juu ya meza kufurahisha wateja, yupo kazini hapo huku akilipwa.
Ukatili dhidi ya Watoto, kama inavyoonekana pichani mtoto aliyeumizwa kazini.
Being poor...
Wakuu, ninaona kuna ongezeko kubwa sana la watoto wa kike kwa familia ukilinganisha na watoto wa kiume kwa tathmini niliyoifanya kwa familia zenye watoto wa umri wa chini ya miaka kumi.
Nyie...
Julai 14, 2016
UFAFANUZI KUHUSIANA NA HUDUMA ZA STARTIMES
Kampuni ya StarTimes Tanzania kupitia ving’amuzi vyake imejizatiti kuhakikisha watanzania wote wanafikiwa na huduma za matangazo ya...
Habari wa wakati huu wana JF.
Awali ya yote niseme tu kuwa si kila unachokitenda ulikipanga.
Leo,nilikuwa katika ndondondo zangu za kuwezesha chululu za kila siku nimejikuta nipo na baba mzazi wa...
Ndani ya miaka hii miwili tokea zianze kufanya kazi yawezekana zimeshawahi kutengeneza faida zaidi ya bilioni 13, ukitoa garama za service ndogo ndogo, na gharama za mishahara ya wafanyakazi
Sasa...
Najua ktk nchi hii kuna matatizo mengi sana zaidi ya yale ambayo tunayaona. kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwaona polisi wakiwa ktk hali ambayo sii ya kulidhisha. kuanzia kimuonekano wa kimavazi...
Stand za daladala zimegeuka soko, watu wanauza kilakitu kila mahali,mbegu za maboga, korosho, nguo na vitu kibao.
Msimbazi hakuna pedestrian, vituvime zagaa kila mahali.
Probably huyu...
Nimeikuta huko Facebook pastor amewaambia waumini wake wave nguo ili roho mtakatifu aingie kwa urahisi kwenye miili yao
Link hi hapo chini
Cjajua Ni nchi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Iringa mjini, mwenyeji anisaidiae kijiji kikubwa kilichochangamka na network ya Tigo iwe inapatikana.
Naomba kujuzwa nauli ya Daladala na kiwe njia ya kwenda Dodoma ila ndani ya mkoa wa Iringa
Je Hawa watu wa nitumie ile pesa wameshindikana kudhibitiwa.angalia hii Nitumie kwenye namba hii 0754890620 jina MOHAMMED KIZENGA ukituma nijulishe nifanyie haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya kwako ewe mTanzania unaesoma na kuutizama Uzi huu, ningependa kupata ushirikiano toka kwako juu ya swala hili ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi pasipo kupata ufumbuzi.
Wanasema...
Naomba, kwa niaba ya wazalendo wenzangu wa Isansa Mbozi nitoe ufafanuzi kuhusu na kilichoandikwa na gazeti la NIPASHE la leo tarehe 14 January 2019, kwenye kichwa cha habari _"Bil 13.9...
Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je ikulu ni nyumba ya raisi au ni ofisi ya raisi au vyote kwa pamoja.
Kama ni nyote kwa pamoja, je wanawezaje kutenganisha shughuli za familia na kazi. Je...
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,
Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na...
habar ya muda huu members, ninaomba msaada ni njia gani ninaweza nikafungua account ya youtube inayolipa kwa maana nina project ambazo nina mpango wa ku upload for something hiv kma kuna yeyote...