badsangu
Member
- Nov 1, 2017
- 67
- 30
Habr wapendwa,samahani naomba kujua makato ya kutuma pesa kutoka NBC kwenda benki zingine kama NMB,CRDB n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli suala lako ni hilo, mbona ni rahisi sana kuingia tawi lo lote la NBC na kupata first hand information kuliko hapa jukwaani ambapo utapata second hand information?Habr wapendwa,samahani naomba kujua makato ya kutuma pesa kutoka NBC kwenda benki zingine kama NMB,CRDB n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nikweli usemacho Ila Niko mbali na hayo matawi mkuu ndo sababu iliyonileta hapaKama kweli suala lako ni hilo, mbona ni rahisi sana kuingia tawi lo lote la NBC na kupata first hand information kuliko hapa jukwaani ambapo utapata second hand information?
Poa Ndugu nashukuru sana1% Kama gharama Za kutuma Ni Za Wewe mtumaji
Hakika nikweli usemacho Ila Niko mbali na hayo matawi mkuu ndo sababu iliyonileta hapa
Sent using Jamii Forums mobile app