Kheri wapendwa wakubwa kwa wadogo
Leo ni siku nyingine tena tuutazame mzunguko wa maisha yetu ya kila siku
Nianze kwa kusema tu baadhi yetu tumekuwa na tabia au mazoea ya kufanya mambo kwa...
Baada ya kuona vijana wengi wakiwa wafia dini hadi wengine kuwaita wenzao makafiri mda mwingine, ila ni vyema tungeulizana kama mzungu na mwarabu wasingezambaza dini zao Africa leo hii tungekuwa...
Hasa kwenye mitandao, kuanzia "Shangazi", Miss Sarungi, Miss Ndosi, TLS (ndio), na "the so called" wanaharakati wa "Demokrasia" pamoja na vyama karibu vyote vya ukinzani wanakereka wakikusikia...
WANAJAMVI PLEASE NAOMBA KUPATA MSAADA WA TOFAUTI YA HAWA WANYAMA WA PORINI NASHINDWA KABISA KUELEWA NA KUTOFAUTISHA
1.NYANI
2.TUMBILI
3.NGEDERE
4.KIMA
5.SOKWE
Vitabu vilivyopo mashuleni ni tatizo
Mimi kama mzazi nimemnunulia wanangu vitabu darasa la iv na v si vitabu vizuri.
Sio lazima kuchambua humu, kama wewe ni mzazi na unafuatilia mambo ya shule...
Mimi ni mtanzania halisi lakini nataka nibadili uraia wangu ili nichukue uraia wa nchi nyingine. Tafadhali mwenye uelewa wa haya mambo naomba anisaidie kujua hatua za kufuata ili niweze...
Unakuta kadi ya bank kimuonekano iko vizuri lakini unatumiwa ujumbe 'kadi yako mwisho wa matumizi ni tarehe fulani uje uombe nyingine'.
Sasa wanafanya hivyo kwa usalama wa akaunti au hayo...
Mambo vip wadau? Kwa kua gharama ni kubwa nauliza je zikirudi kutoka kweny service Canada kwanini kusiwe na utaratibu wa kuzipokea? By Masue 1 Buzebazeba Ujiji...
Mambo vip wadau? Kwa kua gharama ni kubwa nauliza je zikirudi kutoka kweny service Canada kwanini kusiwe na utaratibu wa kuzipokea? By Masue 1 Buzebazeba Ujiji...
Habari za asubuhi wanajf wote.
Ni hivi...........
Nina tatizo moja au hali fulani ambayo huwa inanishangaza sana na sijaielewa bado.
Nikisema na nikijipa matumaini kabisa na kujua toka ndani ya...
Jumanne ya tarehe 15 tunamshukuru mungu kwa wale tulio wazima WA afya na wale wenye shida mbalimbali tunamuomba mungu awaponye ili waweze kurudi Katika majukumu yao ya kila siku. Kumekucha...
Natazama TV hapa nikakutana na kero ya ongezeko la sauti kubwa na ya kuboa pale linapoingia tangazo la biashara. Nadhani hii changamoto sasa inahitaji kuundiwa kanuni au sheria kabisa.
Mtu...
Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka...
1. Uchafu umemalizika kabisa na Jiji ni safi kama London na New York
2. Usafiri kwa Jiji la Dar es Salaam ni mzuri kama wa Paris
3. Wanafunzi wa Shule sasa hawaonewi na wenye Madaladala
4...
Nilikuwa wodini nauguza basi kwa jirani ya kitanda cha wodini kulikuwa na mtu mwingine anauguza pia alipofika doctor akamwambia siwezi kukupa majibu ya vipimo mpaka mgonjwa akubali,,,anhaaaa kumbe...
Ni mara nyingi jamii zetu zimekuwa zikiishi katika mifumo ambayo inazorotesha utu na ubinadamu na kufanya maisha yawe ya kinyama.
Jambo la kushangaza ni kuwa watu hawana habari na mabadiliko haya...
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya...
Me navutiwa na Wanajeshi kwa jinsi wanavyoishi maisha tofauti na sisi raia.wanaheshimu Sana sheria na taratibu.we jiulize watu hata wakiwa elfu Bado wanaongozwa na mtu m1 na wanafanya kazi Yao...
Mzuqa wanaJF!
Baada ya mechi ya Mani na Tottenham Nilitoka out kujinyoosha. Nilipokuwa narudi Ghetto mida ya saa mbili tatu hivi usiku nikaona vitu vinne angani vinapita kwa kasi ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.