Ikulu ni ofisi au nyumba ya Rais?

Ikulu ni ofisi au nyumba ya Rais?

Kidevu 1

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
94
Reaction score
63
Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je ikulu ni nyumba ya raisi au ni ofisi ya raisi au vyote kwa pamoja.

Kama ni nyote kwa pamoja, je wanawezaje kutenganisha shughuli za familia na kazi. Je ikitokea raisi ana watoto 20 kuna vyumba vya kuwatosha ?

Je, ikitokea raisi ana wake wa ndoa watatu wote watakaa Ikulu?

Kuna baadhi ya watu wanasema Mwl Nyerere allikuwa anaishi mikocheni na kila siku anakwenda ofisini ikulu na kurudi jioni kuna ukweli juu ya hilo.

Kuna hizi ikulu ndogo za mikoani ambapo kwa baadhi ya mikoa RC ndio wanakaa humo. Je ikulu ni nyumba au ni ofisi ?
 
ni nyumba na ofisi kwa pamoja kama wafanyavyo wahindi

Sent using Jamii Forums mobile app

................Muamar Gadaf. .............................Nianze kwa kukusalimia tena kwa heshima na taadhima,..................................pili naombani kupongeze kwa swali zuri.....................kwa taarifa yako ni kwamba IKULU ni taasisi tena kubwa mno yenye kuwa rasilimali nyingi kama majengo, watu, ardhi na pamoja na makazi.....................Ikumbukwe kuwa ni eneo au makazi anayoishi rais wa nchi,.....................hivyo panataiwa kuwa na ULINZI na USALAMA kwa asilimia 100 au zaidi,...............................pia kunatakiwa kuwe na mawasiliano kutoka kila kona ya nchi,.......................hii ndiyo ofisi namba moja,.........................naamini nitakuwa nimekujibu swali lako.

wasalaam,

Mwenzetu
 
geto ni pale na masikani ni palepale. hofu yangu ni kwamba lazima washikaji zake wanamchungulia kwa makamera anapopiga mzigo.

nikifanya Kazi likulu mke nampamgisha kigamboni kabisa ili asiniangalie MTU wakati nakula mzigo
 
Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je ikulu ni nyumba ya raisi au ni ofisi ya raisi au vyote kwa pamoja.

Kama ni nyote kwa pamoja, je wanawezaje kutenganisha shughuli za familia na kazi. Je ikitokea raisi ana watoto 20 kuna vyumba vya kuwatosha ?

Je, ikitokea raisi ana wake wa ndoa watatu wote watakaa Ikulu?

Kuna baadhi ya watu wanasema Mwl Nyerere allikuwa anaishi mikocheni na kila siku anakwenda ofisini ikulu na kurudi jioni kuna ukweli juu ya hilo.

Kuna hizi ikulu ndogo za mikoani ambapo kwa baadhi ya mikoa RC ndio wanakaa humo. Je ikulu ni nyumba au ni ofisi ?
Nyumba na ofisi, ila ni eneo kubwa na ofisi haziko kwenye makazi. Nafikiri uliyouliza hapo yote yanawezekana wakahudumiwa/ kujisitiri humo.
Nyerere aliishi na mara nyingi kufanya kazi na hata kukutana na baadhi ya viongozi wasio na msafara mkubwa huko Msasani, nyumbani kwake, ikulu alikwenda kukiwa na dhifa ya taifa, kuapisha watu, mikutano ya baraza la mawaziri n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wanakaribishwa hata wabakaji wa watoto na kupewa chakula na heshima
 
................Muamar Gadaf. .............................Nianze kwa kukusalimia tena kwa heshima na taadhima,..................................pili naombani kupongeze kwa swali zuri.....................kwa taarifa yako ni kwamba IKULU ni taasisi tena kubwa mno yenye kuwa rasilimali nyingi kama majengo, watu, ardhi na pamoja na makazi.....................Ikumbukwe kuwa ni eneo au makazi anayoishi rais wa nchi,.....................hivyo panataiwa kuwa na ULINZI na USALAMA kwa asilimia 100 au zaidi,...............................pia kunatakiwa kuwe na mawasiliano kutoka kila kona ya nchi,.......................hii ndiyo ofisi namba moja,.........................naamini nitakuwa nimekujibu swali lako.

wasalaam,

Mwenzetu
Mbona kama mipasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je ikulu ni nyumba ya raisi au ni ofisi ya raisi au vyote kwa pamoja.

Kama ni nyote kwa pamoja, je wanawezaje kutenganisha shughuli za familia na kazi. Je ikitokea raisi ana watoto 20 kuna vyumba vya kuwatosha ?

Je, ikitokea raisi ana wake wa ndoa watatu wote watakaa Ikulu?

Kuna baadhi ya watu wanasema Mwl Nyerere allikuwa anaishi mikocheni na kila siku anakwenda ofisini ikulu na kurudi jioni kuna ukweli juu ya hilo.

Kuna hizi ikulu ndogo za mikoani ambapo kwa baadhi ya mikoa RC ndio wanakaa humo. Je ikulu ni nyumba au ni ofisi ?

Ni vyote, makazi na Ofisi, na ilitengenezwa makusudi ili iwe hivyo!
 
Unaotuuliza wote hatujaingia ikulu wala hatutaingia ngoja tukuongopee tu

Sent by Diaspora
 
Ni vyote, makazi na Ofisi, na ilitengenezwa makusudi ili iwe hivyo!
Hakuna kazi nzuri kama ile inayofanywa ukiwa karibu na familia yako. Ndio namna ya asili tangu enzi za kale, wachache tu ndo wanaweza siku hizi kama vile marais na wafalme
 
Back
Top Bottom