Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu sakata la Spika na CAG liibuke,nimekuwa nikitafakari kuhusu kinachoonekana ni kosa kwa CAG kuongelea udhaifu wa Bunge katika kufanyia kazi ripoti zake. Nilijiuliza maswali haya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Types of Governments Most states have one main leader along with parliament or assembly of politicians. The main types of governments are listed and explained below. A state can have a...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika maisha yangu sijawahi kuona teja kaacha madawa ya kulevya kirahisi na kupona kabisa, kwanini?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Precision Air wanaudhi kupita maelezo, ati wameoverbook watu yaani tupo airport, flight ya Kia - Nairobi, wanasema imejaa. Sasa jamani kwanini wanafanya hii biashara kama daladala sasa mtu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
NDEGE ndefu zaidi duniani ipo tayari kwa ajili ya kuanza kutengenezwa kwa ajili ya kibiashara na abiria. Hatua hiyo inakuja baada ya sampuli ya awali ya ndege hiyo, Airlander 10, yenye thamani...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Kazi ni haki ya msingi na ni jambo zuri kwa mwanadamu katika kuyamudu na kuyaendeleza maisha yake yaweze kuendana na mpango mzima wa kuumbwa kwake. Kazi kimsingi inamsaidia na kumpa mtu thamani ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wahakiki wa mashamba ya korosho mkoani Mtwara walipata wakati mgumu baada ya kutokewa na kundi la manyigu wakati wakiendelea na kazi. Wahakiki hao walikuwa wameandamana na mkuu wa wilaya ya...
2 Reactions
47 Replies
13K Views
Wapendwa toka jana kumekuwa na shida ya umeme kukatwa asubuhi kurudi usiku Leo umekatwa mchana mpaka sasa wananchi wako gizani Mnaweza kutujuza kama ni mgao ama lah..Kama wenzenu TANESCO kama...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Kuna wimbi la taifa kupoteza wasomi kwa kushambuliwa na majambazi. Kabla ya Dr Mvungi, Prof. Mwaikusa aliuwawa July.2010.. Wanajamii taja wengine.. ..
1 Reactions
34 Replies
11K Views
Habari wakuu Nikiwa mapumzikoni nyumbani Geita nimekutana na kesi ya mtu kupiga mimba na kuambukiza virusi vya ukimwi iko hivi kuna jamaa ana eneza VVU kwa makusudi, anafanya hivi hasa kwa watoto...
0 Reactions
3 Replies
704 Views
VIETNAM ni moja ya nchi zilizopiga hatua kubwa ya maendeleo barani Asia. Mwaka 1986 Serikali ya Vietnam ilianzisha mageuzi makubwa ya uchumi yaliyowezesha kuitoa nchi hiyo kwenye kundi la nchi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
GT barafu aliahidi jana atashusha nondo na madini ya hatari sana humu kuhusu sakata la balozi Canada. Niko macho hadi sasa sijaona thread yake yoyote. Naenda kulala sasa ila nawaombeni tu mnitag...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Wameharibu maghala kadhaa ya silaha ambazo zilikua zinapelekwa kwa kundi la kigaidi la Hesbullah. Tena hayo yametendeka ndani ya uwanja wa ndege. Halafu mnadai eti kuna s300...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa Mazingira lijulikanalo kama LEPAJE limezindua kampeni ya uoteshaji wa miti ya matunda juu Makaburi kwa lengo la kuendeleza mapambano...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Shit nilikuwa naanza kujivunia uwepo na ukuwaji wa Bank M Tanzania mpaka nilipokuja kuona kwamba kumbe nayo kama vilivyo vitu vingine vyote hapa TZ ni ya ni Wahindi/Waarabu/Wazungu shiiit! Hii...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Taarifa zinasema jiji la Mwanza halina maji kwenye baadhi ya viunga vyako katika wilaya zote mbili za Nyamagana na Ilemela kwa muda wa takribani wiki sasa, Shida inasemekana mashine/pump ya...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wana Jf Nahitaji lain ya M-PESA isiyo na shida yoyote kwa watu wa mkoa wa mbeya tu maana muhitaji wa hiyo lain yuko mbeya mjini. Kama unayo na unapatika mbeya hasa mbeya mjini wasiliana na...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Duh. Haikuwa rahisi. Siku zinaenda taratibu sana but in the end, January will soon be over!
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Wale wahenga wanakumbuka hadithi yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu. Nani atakuwa na ujasiri km panya mabaka...hapa ndugu zangu nadhamiria kukuelezea ugumu wa kurudisha tuzo kwa wasanii wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom