chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,948
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,
Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na rates au gharama zake pia zipo vipi.
Vilevile naomba kujuzwa usafiri wa bus gani zuri na bei zake kwa safari hii ya Mpwapwa maana natokea Jijini Dar.
Natanguliza shukrani!