Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,874
- 7,146
Stand za daladala zimegeuka soko, watu wanauza kilakitu kila mahali,mbegu za maboga, korosho, nguo na vitu kibao.
Msimbazi hakuna pedestrian, vituvime zagaa kila mahali.
Probably huyu angewafyekelea mbali na hakuna mmachinga ambae angejaribu kujikuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimbazi hakuna pedestrian, vituvime zagaa kila mahali.
Probably huyu angewafyekelea mbali na hakuna mmachinga ambae angejaribu kujikuna.
Sent using Jamii Forums mobile app