Dudu gani lilitokea Zanzibar Januari 12, 1964?
Na Ahmed Rajab
MIAKA 55 imetimu tangu yalipotokea yaliyotokea Zanzibar Januari 12, 1964 na bado tunajiuliza: nini hasa kilitokea?
Tunajua kwamba...
Tujichangishe wananchi hata kama tunalipa kodi still its obvious mapato wanayopata hayatoshelezi mahitaji ya wananchi.
Wizara kama afya, elimu etc hazitakiwi kubanwa kisa budget ndogo. Eti watoto...
Hello JF,
Leo nilikua na wazo kwa nini tusitoe mfumo wa kwenda jeshini?
Tusave hela inayotumika jeshini kuwapa waajiri wa makampuni mbali mbali waemploy watu wanaotoka vyuoni, ili wapate...
Wana JF sijawahi kupanda mabus ya mwendokasi kwa kipindi cha asubhi kutoka Mbezi to Kariakoo, sababu siishi maeneo ya njia ile. Ila jana niliutumia usafiri ule nikitokea Mbezi to Kariakoo kwa...
Salam wakuu.
Naomba nitumie huu uzi kukanusha taarifa zilizosambaa kuhusu kifo aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara ndugu Magesa Mulongo.
Ndugu yetu Magesa ni mzima wa afya na...
Askari wengine wakolofi sana, hasa hawa trafik. Anakusimamisha, hataki ujieleze wala umulize, kitu cha kueleweshana tu anageuka mkali anaanza kukupiga makofi. Hasa sisi madereva wa pikipiki...
Ni Muhimu Kwa Mh. Magufuli Kutolea maelezo kashfa hizi mbili zinazomkabili kama alivyofanya Mgombea wa Ukawa Mh.Lowassa alipolitolea ufafanuzi suala la Richmond whether vya kutosha or otherwise...
Tumekua na shida ya maji kwa muda mrefu sana,shughuri nyingi zinakwama kwa kukosekana kwa maji maana eneo hili hata uchimbe chini hupati,kuna watu wamechimba miaka miwili bila kupata maji...
Mshikaji ana age ya 35yrs.
Hizi ndizo bata zake kabla hajashikiliwa na kuwekwa kizuizini huko Uarabuni kwa kuwatapeli waarabu kama bilioni hamsini pia baada ya arrest warranty nchini kwake Ghana...
Habari wanabodi,
Wengi huanza siku bila Ramani maalumu, yaani unaamka na kufanya yale unayofanya kila siku k.v. kunywa chai, kwenda kazini, kupitia watoto shule na kurudi nyumbani, etc.
Nashauri...
Za asubuhi hii.
Leo katika majukumu ya kila siku nililazimika kwenda bank moja hapa kwenye jengo maarufu jijini Mwanza. Nikafika benki moja nikawa nahitaji kuchukuwa pesa niliyotumiwa kutoka nje...
Hivi tigo mnavyosema university offer mnaanisha nini hasa ? Mlianza na 1Gb naamini mlilenga kusaidia wanavyuo kuweza kutumia data kama nyenzo ya kujisomea.. Mkatoka huko mkapunguza mpaka Mb 500...
Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa...
Hawa watu (TFF) ni wa ajabu sana wakati Yanga ikishiriki mechi za shirikisho timu yake hakupewa ahueni yeyote badala yake TFF ilipangia ratiba ngumu tofauti wanavyowafanyia simba. Je lengo la TFF...
Wakati nakua nilililelewa na kuaminishwa kwamba nisome kwa bidii nipate elimu nipate kazi,nipe,ninunue kiwanja,nijenge nyumbe ninunue gari.Nioe nizae watoto niendelee na maisha
Sasa nikafanya...
Haya ni maoni tu..!
Tunaonaje kama nchi tukaunganisha hizi sherehe 5 (sherehe za muungano, sherehe za uhuru wa tanganyika, sherehe ya mapinduzi ya Zanzibar, sherehe ya maadhimisho ya siku ya...