EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Ila kama mtu ni mfuatiliaji wa matukio ya bara la Afrika utaelewa tu maana ya mleta hoja.Hii ni Jamiiforums, The home of great thinkers, unapoandika kitu, hebu hakikisha umeandika vizuri, sio unaandika vifupisho utafikiri unamuandikia demu wako yule form two failure.. Ndio maana siku hizi siingii sana humu, imekuwa kama Facebook!