Hamiyungu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 567
- 714
Tumekua na shida ya maji kwa muda mrefu sana,shughuri nyingi zinakwama kwa kukosekana kwa maji maana eneo hili hata uchimbe chini hupati,kuna watu wamechimba miaka miwili bila kupata maji.
Tumefuatilia sana idara ya maji arusha tukaambiwa mpaka wajenzi wa barabara ya east africa waweke sehemu ya kuvushia mabomba,hatimaye wachina wanao jenga barabara hiyo wakaweka hiyo sehem lakini mpaka leo hatujapata maji na maji hayo yapo upande wa pili tu wa barabara.
Tafadhali tunakuomba utasaidiae tuweze kupata maji eneo hili la kiseriani.