Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RC Mulongo alimpiga chini mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Shabani Mdoe baada ya kudaiwa kumwandika vibaya wenye gazeti hilo. Kisanga hicho kilifikiwa wakati mkuu huyo akiwa kwenye msafara...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
WANAFUNZI wote katika shule za bweni nchini, wametakiwa kupimwa kujiridhisha na afya zao, ikiwemo ugonjwa wa kifua kikuu (TB) na kuondokana na ujazaji wa fomu za afya bila kupimwa. Agizo hilo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Eti watuhumiwa walioshikwa wakisindikiza dhahabu mwanza(askari) wapelekwe mahakamani, yani unawahukumu kana kwamba una uhakika walichofanya sasa kama huwajui hawa jamaa wana tabia ya kuteteana...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Leo hii serikali inasema umiliki wa Bharti Airtel ni batili kwa kuwa umiliki huo ulipatikana kinyume che sheria. Uchunguzi ulofanywa na tume maalum iloundwa na waziri wa fedha Philip Mpango...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu wa Nchi hii wanachekesha sana. Ukiwasikiliza vizuri Vijana wa Chadema [Bavicha] au kama wanavyojiita wao "Akili Kubwa" unaweza kuhitimisha kuwa sasa tumefika mwisho wa kufikiri. Bavicha...
9 Reactions
76 Replies
7K Views
Original post by Khalid Shekoloa RSA TANGA REGION *WAJIBU WA ASKARI AWAPO BARABARANI* Maelezo hayo ni muhtasari wa mwongozo wa nini ofisa wa polisi aliyevaa sare anaweza kufanya kisheria na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina miembe ya kuunga (dodo etc) umri kama miaka 4. Tatizo: Inatoa maua kidog na kuzaa maembe kidogo. Miembe ya kienyeji kando yake inazaa sana. Tatizo ni nini? Nimejaribu kunyunyizia dawa ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anti-NMDA receptor encephalitis - JamiiForums Anti-NMDA receptor encephalitis Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Sie wa Pwani hususani wilaya ya mkuranga tuliambiwa tusubiri zoezi lingeazia mikoa ya kusini halafu ndio waje huku Tegemeo letu na masikio tumeelekeza kwenu nyie wa kusini mliopewa kipaumbele kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuh wanaJF, baada ya kuwa na subira na hekima leo nmeamua kulileta jambo hili kwenu labda naweza pata msaada. Mwaka jana mwezi wa 11 kuna wasanii wa bongo movie (comedian) walitia...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Mambo vip wadau? Kwa kua gharama ni kubwa nauliza je zikirudi kutoka kweny service Canada kwanini kusiwe na utaratibu wa kuzipokea? By Masue 1 Buzebazeba Ujiji...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Pongezi kwa hii serikali, hii ndo Serikali sasa kumbe bwana sio katika maofisi pekee ambapo nidhamu imerejea Mimi mwenyewe Ni shuhuda toka Magufuli aingie nimejifunza mengi mazuri,ile kujengewa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kumekua na sintofahamu jijini Mwanza hasa baada ya kutokea uhaba wa mikate kwenye viwanda vya kuzalishia mikate Hii huenda ikapelekea bei ya mkate kupanda na hii imesababishwa na kukosekana kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana Jf. Kama ni wakaazi wa Mkoa wa Mara au wafuatiliaji wa mambo ya hapa nchini mnakumbuka pasipo shaka kilichofanywa na shirika la letu la Mara corporation(MARA CORP.) mwaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna tuvipaji twangu tulifia shule ya kayumba kwa kukosa vifaa na vipaji kuchukuliwa kama ni kukoswa kazi na upotezaji wa muda. Shule gani naweza kumpeleka mtoto wenu angalau apate mazingira ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Taa ambazo zipo maeneo ya Vingunguti, Kipawa/Jeti kutoka Tazara kuelekea Airport, Gongolamboto na kwingineko, zinasababisha foleni mpaka juu ya Fly Over ya Mfugale. Tukumbuke daraja hili lina...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba Kuuliza hivi Ndege ambazo ni mpya kabisa ' Kitaalam ' huwa zinatakiwa kufanyiwa ' Service ' baada ya Miezi 24 au 36 au 12? Manake kuna Ndege Mbili mpya kabisa za nchini Nicaragua hazina...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Serikali yafuta mashamba sita ya Mohammed Enterprises Serikali imeyafuta mashamba sita yenye ukubwa wa hekari 12, 915.126 ya kampuni ya Mohammed Enterprises yaliyopo korogwe mkoa wa Tanga...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Tangu sakata la Spika na CAG liibuke,nimekuwa nikitafakari kuhusu kinachoonekana ni kosa kwa CAG kuongelea udhaifu wa Bunge katika kufanyia kazi ripoti zake. Nilijiuliza maswali haya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom