Kanusho kuhusu kifo cha Magesa Mulongo

Kanusho kuhusu kifo cha Magesa Mulongo

Pep

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2,338
Reaction score
5,490
Salam wakuu.

Naomba nitumie huu uzi kukanusha taarifa zilizosambaa kuhusu kifo aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara ndugu Magesa Mulongo.

Ndugu yetu Magesa ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa na hata sasa ninapoandika huu uzi yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.

Nitoe rai kwa wakuu humu kujitahidi kujiridhisha kabla ya kuzungumza suala ambalo hawana uhakika ama uhakika ni mdogo kwalo.

Nawasilisha
 
hiyo ni kitambo sana maana alianza kuwa DC bagamoyo, RC Arusha Mwanza Mara anarudi kulima au? ofisini
Allah arndelee kumpa maisha marefu.

Amerudi kwenye ofisi yake alipokuwa anafanya Kabla ya uteuzi
iyo
 
Salam wakuu.

Naomba nitumie huu uzi kukanusha taarifa zilizosambaa kuhusu kifo aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara ndugu Magesa Mulongo.

Ndugu yetu Magesa ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa na hata sasa ninapoandika huu uzi yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.

Nitoe rai kwa wakuu humu kujitahidi kujiridhisha kabla ya kuzungumza suala ambalo hawana uhakika ama uhakika ni mdogo kwalo.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa kwa kupenda kiki na uongo...
Huenda yeye ndo alijitabiria kifo ili awe kwenye headlines,Magu amkumbuke,(maana keshasaulika),ili walau ampeleke Cuba ubalozini...
Never trust a politician.
 
Aisee mola wake amfanyie wepesi. Kumbe haikuwa kweli.

Kifo hakina chama.
 
Kwani ni nani hasa hadi tupay attention!??
 
Wanasiasa kwa kupenda kiki na uongo...
Huenda yeye ndo alijitabiria kifo ili awe kwenye headlines,Magu amkumbuke,(maana keshasaulika),ili walau ampeleke Cuba ubalozini...
Never trust a politician.
Mheshimiwa Magufuli angekua amemsahau kama unavyodai, muda huu ndugu Magesa asingekua 'ofisini'

Anyways, kwa sasa itoshe tu kujua kwamba yu mzima na anaendelea na majukumu ya kuijenga taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Tanzania haina wabunifu wanaojifanyia shughuli zao halali? Au ubunifu hauruhisiwi huko Tanzania?
Maana kila nikisoma au kusikia mtu anafanya jambo basi ni lazima liwe la kuunga mkono juhudi za mheshimiwa rais. Kinyume na hapo hakuna kinacho endelea either unga mkono juhudi or fak off.
 
Mkuu kwa bahati mbaya sio watendaji wote wa serikali unafahamu ofisi zao/ ama ofisi zao zinafahamika.

Kwa sasa itoshe tu kujua kwamba yu mzima na anaendelea na majukumu ya kuijenga nchi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujenga nchi ipi sasa hivi anatafuta chakula chake cha kila leo angekuwa anajenga nchi angesikika au kuonekana akibeba tofali niende zangu CNN,BBC mie
 
Back
Top Bottom