Cheki bata anazokula kijana mwenzetu (Nana Appiah Mensa) baada ya kuwapiga Waarabu karibu bilioni 50!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,323
2,000
Mshikaji ana age ya 35yrs.

Hizi ndizo bata zake kabla hajashikiliwa na kuwekwa kizuizini huko Uarabuni kwa kuwatapeli waarabu kama bilioni hamsini pia baada ya arrest warranty nchini kwake Ghana kwa kuendesha Gold Ponzi scheme!

 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,647
2,000
Warabu wakituibia s
Nijuavyo mie kula bata ni kwa pesa yako mwenyewe, pesa halali si ya wizi, kumdhulumu mtu au ufisadi kwani siku yoyote ile itakutokea puani au kama asemavyo yule kichaa popote kwenye mwili wako.
Warabi wakituibia sio dhambi ila sisi tukiwaibia ni dhambi eenh! Rejea utorkshani wa dhahabu.Acha warabu wapigwe tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom