US military bases na Ugaidi

Makundi ya kigaidi ni kama sub contractors wa Mashirika ya kijasusi ya nchi mbali mbali za kibeberu.Wae askari wao wanaotumika kwenye matukio ni Useful ediots ambao wanakuwa manipulated na kuaminishwa kuwa wanapigania dini kumbe wanatumika kisiasa na kiuchumi kwa maslahi ya mabwanyenye.ukitaka kuwaelewa hawa vijana wadogo wanaotumika kutekeleza haya mauji na mental state yao katafute documentary inaitwa Path of blood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa makundi ya kigaidi ndio ujua wanapigania nn zaidi huwa ni siasa na miliki ya tawala, ila Vijana wadogo brain washed wengi wao wanawachukua toka kwenye familia zilizoumizwa kandamizwa na shida fulani saikolojia kuwaaminisha wanapigania dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US ndiyo mwezeshaji mkuu wa so called "ugaidi", anawapa fedha na mbinu nyinginezo halafu anarudi upande wa pili kulalamika kuhusu ugaidi.

Majirani zetu watapata tabu sana maana inaweza kifika kipindi USA ataanza kuingia vitani na nchi au vikundi fulani ilihali yeye base zake haziko nyumbani, watakaoumia ni waafrika wenzetu na sio Americans.

Kenya wasidhani kuwa kuna faida yoyote ya kuwaruhusu hawa jamaa kupanua kambi zao nchini humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ISIS na makundi mengine huko uarabuni hupewa ulinzi na silaha na kufadhiliwa na US, Saudi Arabia na Israel. Mara nyingi haya makundi huwa ni pretext ya wao kuja kuweka kambi zao ili kulinda maslahi yao mahali hapo. Wanajua wakikuambia uwaruhusu waweke kambi huku kuna amani utakataa. Wanakuwekea kikundi ili wakikuambia ukubali bila kuhojihoji.

Wanatengeneza tatizo alafu wanajitokeza kuleta utatuzi wa tatizo walilolotengeneza wenyewe,oldest trick in the book.hii strategy naona hata mzee jiwe naye anaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashirika ya kijasusi wanatumia version ya uwahhabi( ideology ya kujilipua na ugaidi) iliyotengenezwa mahsusi kwa sababu maalumu zikiwemo;

1. Kuvunja umoja baina ya madhehebu ya dini ya Uislamu( divide and rule)

2. Kuufanya Uislamu uonekane mbaya machoni mwa watu wa dunia nzima Cc Kujilipua, Ugaidi, Kukata watu vichwa.. etc hii yote ni kuandaliwa binadamu kwa hatua inayofuata mbeleni.

Prince Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia aliwahi kukiri Spread of Wahhabism was done at request of West during Cold War – Saudi crown prince

Pia Hillary Clinton alishawahi kukiri
Hillary Clinton admits America created, funded and armed Al Qaeda / ISIS terrorists

Hillary Clinton Tells Truth About US Funding Of Saudi Wahhabis
 
Viongozi wa makundi ya kigaidi ndio ujua wanapigania nn zaidi huwa ni siasa na miliki ya tawala, ila Vijana wadogo brain washed wengi wao wanawachukua toka kwenye familia zilizoumizwa kandamizwa na shida fulani saikolojia kuwaaminisha wanapigania dini

Sent using Jamii Forums mobile app

Muda mwingine ni zaidi ya Dini.
Vitendo vya kiutawala vyenye kukosa viwango vya kiubinadamu hutengeneza watu wa aina hiyo. Na pale anapopatikana mfadhili wa kuwapa nafasi ya kulipiza huona nao wamepata na hujiunga kwa moyo moja.
 
who create osama bin laden, who create IS
what the function of CIA ????????????????????
 
Japan, Thailand, Burkana Faso, Niger, South Africa na South Korea kuna military base za US lakini hakuna vikundi wala vitendo vya ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Thailand kuna Tamil Tigers, Burkina Faso na Niger imetengenezwa Boko Haram pale Nigeria na inazidi kuimarika, South Korea amejaa kuendeleza mgogoro na North Korea. Na post haijataja ugaidi pekeake.
 
Mkuu naona upo mbali kidogo… Tamil tigers hawakuwahi kua Thailand, walikua Sri lanka na hakikua kikundi cha kigaidi ila ni watu jamii ya watamil ambao walitaka kujitenga kwa kuanzisha nchi yao ndani ya Sri lanka na hata hivyo kikundi hichi kilifurushwa vilivyo mwaka 2009 na hakipo tena….

US wapo S.K kulinda masilahi yao na kama eneo mkakati barani Asia

Burkana Faso na Niger hakuna vitendo vya ugaidi (Tofautisha kati ya Niger na Naigeria)

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na masahihisho yako upande wa Sri Lanka lakini bado pia hujanipata, naelewa kwamba Boko Haram hawapo Niger, nimesema imetengenezwa Boko Haram pale Nigeria na inazidi kuimarika kwa maana hiyo wa West Africa haupo salama, na ndiyo hao jamaa hawashambulii Nigeria pekeake, wanakwenda hadi Cameroon, yeye kajiweka Niger, moja ya mataifa masikini kabisa, unafikiri Boko Haram wanapata wapi silaha kaka?
We fahamu kuwa US akikaa sehemu lazima atafute namna ya kujustify uwepo wake hapo. S. Korea na N. Korea wangekuwa at harmony asingepeleka pua yake pale.
Na si lazima kukawa na ugaidi tu mkuu, hata uncertainty kwao ina faida na lazima watahakikisha inakuwepo, kama ilivyokuwa kwa Tamil Tigers, wanaatempt hiyo pale Taiwan lakini China yuko strong sana
 
Duh. Hatari.
Tafadhali naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu anisaidie.

√ Je, kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, U.S military bases ziko mataifa yapi?

√Hao US ni upi uhusika wao na ikiwa wanahusika na vitendo vya kigaidi vya Al-Shabab huko Somalia na Kenya wao wananufaika na nini?

Back
Top Bottom