Dhana ya 'Watanzania wote ni ndugu' na uhalisia katika maisha yetu ya kila siku

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
740
Salaam TZ

Undugu umegawanyika ktk sehem nne
1. Kidini i.e kiimani
2. Nasaba/damu i.e kuzaliana
3. Eneo moja i.e kuzaliwa, kuhamia/kuishi
pamoja mda mref n.k
4. Lugha moja i.e ya kabila au taifa

Kiasili watanzania ni wabantu ambao tumestaarabika kutokana na mwingiliano wa shughuli za kikolon na za kibiashara kutoka mataifa ya ulaya na uarabuni, hapo ndipo dini zikaingia ingawaje kwa sasa njia hizo hazitumiki tena ispokua watoto, vijana na wazee wetu huenda huko kusoma na kuongeza maarifa zaid juu din zao na kuja kuzihubiri

Wako watoto wakikiristo wamelelewa na waislam mpaka wanafika umri wa kujitegemea na bado wanawapenda walez, licha ya kutofautiana imani, wapo pia watoto wa kiislam wamekulia kweny familia za kikiristo mpaka wanakua na wanawapenda walez wao

Wako waliosilim wao kama wao na kuziacha familia zao katika imani za dini nyingine na bado wanapendana na wanashirikiana ktk baadhi ya mambo pia wako walioingia ukristo na kuwaacha ndg zao ktk uislam na bado wanapendana na kushirikiana

#Undugu wa watanzania unatokana na mambo mengi ikwepo yafuatayo;#
1. Kuzaliana baina ya watu wa din mbili tofauti, naamini dini zote znakataza zinaa lkn mtanzania wa aina hiyo pengine ameweka utaifa mbele dhidi ya din yake (Serekali haina dini). Uhalali wa ndoa za bomani unapanua zaid utaifa (taifa hili pagani yani lisilo na dini kimaandishi) kuliko udini hususan kwa wanandoa wa din tofauti

2. Kuishi eneo/mji/mtaa/kijiji au hata nyumba moja kwa watu wa dini tofauti kumepanua zaidi ukarib wa jamii hiz za dini tofauti tofauti, imefika wakat sasa muislam na mkristo ni marafiki wa karib sana hadi baafhi ya mambo ya ndani kifamilia wanashirikishana

3. Kufanya kazi pamoja hususani za serikal au taasis binafsi kumeongeza ukarib na undugu wa watanzania

4. Kusoma pamoja hususani vyuoni na shule za boarding hasa za serikali kumepanua undugu wa watanzania, kila mmoja wetu ni shahidi wa hili ingawaje kwa kuwa kila mtu anauhuru ktk mazingira hayo kuabudu kwa mujib wa imani yake

5. Lugha moja, tunatambuliwa kama watanzania kwa sababu ya lugha moja tunayozungumza

6. Kusafiri pamoja ktk magari ya public, masoko ya pamoja, huduma za afya n.k ni ishara tisha kuwa sisi ni ndugu

N.k...
Kinyume chake ni kuwa ikiwa mambo hayo yanayosababisha ukaribu wa jamii za din mbili tofauti yatapuuzwa au kuwa dictated na mtu mmoja basi huo undugu utaanza kuondoka taratib, uadui/chuki utashamiri kureplace undugu wetu. Chuki poa ni mbegu na zina matungmda yake

Uislamu unasema kupitia mtume Muhamadi '' wapende watu (yaani wadini zote muda wa kuwa hawaoneshi uadui na wewe) kama uipendavyo nafsi yako'' Mtume Muhamadi s.a.w aliishi na wasiokuwa waislam kwa mikataba bila manyanyaso

Na ukristo pia unahimiza upendo juu watu, tuishi kwa pamoja na tushirikiane ktk shida na raha

#Ushauri wangu#
Viashiria vyovyote vya udini ni viashiria vya uvunjif wa aman, kwa watu makini watakemea na kuchukua hatua bila kusabisha madhara waonapo viashiria hivyo, ukiona jamii ya din flan wanasema wanaonewa wasiklize usiwapuuze alaf patanisha ikiwa una mamlaka kiutawala/jamii usinyamaze maana na wew utajumuisha kwa namna moja au nyingine hata kama su muhusika

Din zetu zna mchango mkubwa wa amani ktk taifa lkn pia zinaweza kuwa sababu kubwa ya uvunjif wa amani katika taifa kama ztabezwa. Mtu anaweza kuwa ni profesa mbobezi kwa jambo flani lkn akawa hajui chochote kweny mambo mengine, kwa hiyo waskilizajk wajifunze kuchuja mazungumzo kutoka kweny aina hii ya wasomi.

Kuna mtu hua anapend kusema '' Watanzanoa mniombee jamani, kazi nayoifanya ni ngumu" Kama uhuru wa kuabudu kwa mujib wa din zao utaanza kuminywa basi maombi yatapungua na baadae dua zao ztageuka kuwa laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.
Salaam TZ

Undugu umegawanyika ktk sehem nne
1. Kidini i.e kiimani
2. Nasaba/damu i.e kuzaliana
3. Eneo moja i.e kuzaliwa, kuhamia/kuishi
pamoja mda mref n.k
4. Lugha moja i.e ya kabila au taifa

Kiasili watanzania ni wabantu ambao tumestaarabika kutokana na mwingiliano wa shughuli za kikolon na za kibiashara kutoka mataifa ya ulaya na uarabuni, hapo ndipo dini zikaingia ingawaje kwa sasa njia hizo hazitumiki tena ispokua watoto, vijana na wazee wetu huenda huko kusoma na kuongeza maarifa zaid juu din zao na kuja kuzihubiri

Wako watoto wakikiristo wamelelewa na waislam mpaka wanafika umri wa kujitegemea na bado wanawapenda walez, licha ya kutofautianaimani, wapo pia watoto wa kiislam wamekulia kweny familia za kikiristo mpaka wanakua na wanawapenda walez wao

Wako waliosilim wao kama wao na kuziacha familia zao katika imani za dini nyingine na bado wanapendana na wanashirikiana ktk baadhi ya mambo n.k

#Undugu wa watanzania unatokana na mambo mengi ikwepo yafuatayo;#
1. Kuzaliana baina ya watu wa din mbili tofauti, naamini dini zote znakataza zinaa lkn mtanzania wa aina hiyo pengine ameweka utaifa mbele dhidi ya din yake (Serekali haina dini). Uhalali wa ndoa za bomani unapanua zaid utaifa (taifa hili pagani yani lisilo na dini kimaandishi) kuliko udini hususan kwa wanandoa wa din tofauti

2. Kuishi eneo/mji/mtaa/kijiji au hata nyumba moja kwa watu wa dini tofauti kumepanua zaidi ukarib wa jamii hiz za dini tofauti tofauti, imefika wakat sasa muislam na mkristo ni marafiki wa karib sana hadi baafhi ya mambo ya ndani kifamilia wanashirikishana

3. Kufanya kazi pamoja hususani za serikal au taasis binafsi kumeongeza ukarib na undugu wa watanzania

4. Kusoma pamoja hususani vyuoni na shule za boarding hasa za serikali kumepanua undugu wa watanzania, kila mmoja wetu ni shahidi wa hili ingawaje kwa kuwa kila mtu anauhuru ktk mazingira hayo kuabudu kwa mujib wa imani yake

5. Lugha moja, tunatambuliwa kama watanzania kwa sababu ya lugha moja tunayozungumza

6. Kusafiri pamoja ktk magari ya public, masoko ya pamoja, huduma za afya n.k ni ishara tisha kuwa sisi ni ndugu

N.k...
Kinyume chake ni kuwa ikiwa mambo hayo yanayosababisha ukaribu wa jamii za din mbili tofauti yatapuuzwa au kuwa dictated na mtu mmoja basi huo undugu utaanza kuondoka taratib, uadui/chuki utashamiri kureplace undugu wetu. Chuki poa ni mbegu na zina matungmda yake

Uislamu unasema kupitia mtume Muhamadi '' wapende watu (yaani wadini zote muda wa kuwa hawaoneshi uadui na wewe) kama uipendavyo nafsi yako'' Mtume Muhamadi s.a.w aliishi na wasiokuwa waislam kwa mikataba bila manyanyaso

Na ukristo pia unahimiza upendo juu watu, tuishi kwa pamoja na tushirikiane ktk shida na raha

#Ushauri wangu#
Viashiria vyovyote vya udini ni viashiria vya uvunjif wa aman, kwa watu makini watakemea na kuchukua hatua bila kusabisha madhara waonapo viashiria hivyo, ukiona jamii ya din flan wanasema wanaonewa wasiklize usiwapuuze alaf patanisha ikiwa una mamlaka kiutawala/jamii usinyamaze maana na wew utajumuisha kwa namna moja au nyingine hata kama su muhusika

Din zetu zna mchango mkubwa wa amani ktk taifa lkn pia zinaweza kuwa sababu kubwa ya uvunjif wa amani katika taifa kama ztabezwa. Mtu anaweza kuwa ni profesa mbobezi kwa jambo flani lkn akawa hajui chochote kweny mambo mengine, kwa hiyo waskilizajk wajifunze kuchuja mazungumzo kutoka kweny aina hii ya wasomi.

Kuna mtu hua anapend kusema '' Watanzanoa mniombee jamani, kazi nayoifanya ni ngumu" Kama uhuru wa kuabudu kwa mujib wa din zao utaanza kuminywa basi maombi yatapungua na baadae dua zao ztageuka kuwa laana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom