Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 150,019
- 2,000
Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda Kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa anapiga push up,, akapiga ya kwanza, ya pili hadi ya nne akaanguka hapo hapo na kuaga dunia 

Push up alizopiga Peter hadi wakati wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakati anaamka ndio alirudi chini. anaondoka View attachment VID-20190103-WA0053.mp4
Jr

Push up alizopiga Peter hadi wakati wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakati anaamka ndio alirudi chini. anaondoka View attachment VID-20190103-WA0053.mp4
Jr