Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna huu mtambo wa mawasiliano alioukabidhi mheshimiwa Rais. Utawala wa jf tukianzia na ma mods wote je mnaweza kututoa hofu juu ya huu mtambo kwa sababu humu ndani ya jf tunajivunia kuongea wazi...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Juzi nilikua nataniana na mshikaji wangu kwenye WhatsApp, yeye ni Mkenya nikawa namtania kuhusu masuala ya Kenya na matatizo yao ya Ukabila. Mkenya akaja na hii zahama ikanibidi nisalim Amri. Je...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Sheria inasema hivi kama mtu akimtia mimba mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari kifungo cha miaka 30. Je mwanafunzi akimtia mimba raia hapo sheria inasemaje. Maana hapa mtaani tuna...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Tokea mwaka 2016 hadi huu 2019 ( namaanisha sasa hivi ) nimekuwa nikiona Wanaume wengi sana wakiwa Wanauza Samaki Wabichi, Wanatembeza Mboga Mboga na Wengine wanauza Maurembo ya akina Mama hasa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam Jf! Baada ya kuiona ripoti ya TFDA inayohusu mikoa inayoongoza kwa kujichubua, nimegundua kuwa mikoa ya kaskazini ina viwango vidogo sana vya matumizi ya kemikali hizi zinazoharibu ngozi...
14 Reactions
146 Replies
19K Views
Huku nchi moja barani Afrika ( jina nimeisahau nikikumbuka nitaitaja ) ikiwa si muda mrefu tu imetoka Kuzindua ' mfumo ' wake wa Kimawasiliano ukiwa na lengo Kuu la ' Kuchungulia ' meseji za Raia...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Wastani wa chini ya asilimia 50 ya wanafunzi hawajaripoti shule Masasi RC awataka wananchi kuacha kutumia suala la malipo ya korosho kama kichaka cha kutowapeleka watoto shuleni. Wakati shule za...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habar Wakuu, Kama kichwa kinavyosomeka, nimekuwa nikijiuliza je hizi basi hasa zinatakuwa kubeba abiria kiasi gani? Ubebaji huu unapita kiasi, cha ajabu gari zilizopaki ni nyingi halafu...
1 Reactions
5 Replies
988 Views
1. Unaujua Mtandao wa JamiiForums? 2. Wewe ni Mmiliki wa Mtandao wa Kwinyara Kwinyara? 3. Unaweza ukatutajia angalau Majina matatu tu ya ' Members ' wa JamiiForums ambao wanakosoa mno? 4. Una...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar Mr&Mrs Kama ilivyo Ada yakua kila mwenye shida bhas ana hitajika kutatuliwa na aulizae si mjinga haimanishi mdogo either mkubwa na kila mtu Ana ndoto zake binafsi Hakika kiukweli ndoto...
7 Reactions
101 Replies
15K Views
Wakuu, Japo sijui kwa undani suala hili, ila nitoe pole kwa familia hiyo na kwa mchumba wake kama taarifa zilivyokua zinaeleza. Naguswa na jinsi tukio hili lilivyotokea maana linafananishwa na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
jana nilikua na jamaa mmoja tu na piga story jioni. alikua ananiambia yeye na mchumba wana kaa sehemu tofauti tofaiti sasa ipo ivi huyo wake yupo mchuma wake kila mara yupo busy na simu ana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Africa girls has the best ass in the world,,,,take it or leave it. 2. Equatorial Guinea is Africa’s only Spanish-speaking country. 3. South Africa is the most visited African country. 4...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna prof mmoja wa Kenya wengi mnamjua kwa mbwembwe za kingereza chake Huyu jamaa mwanzoni alijizolea sifa nyingi Sana Tanzania kwa namna anavyoongea kingereza chake na ile intonation yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rejeeni mada tajwa hapo juu.Wiki iliyokwisha nilimsikia afisa usalama mmoja wa barabarani akidai kuwa sasa wanakuja na operation tajwa hapo juu. Swali langu kwa wadau je, operation hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamvi habari Leo nimeamua kuwaletea habari ambayo ilikuwa inazunguka kwenye mitandao us whatsapp juu ya Elimu ya Habibu Mchange ambae amesomea chuo kikuu cha dodoma (UDOM) Kwa mjibu wa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Binadamu ana wastani wa dhambi 3 kila siku za matendo,maneno na kutotimiza wajibu wake... Hii ni minimum wengi wanazidi hapo,sasa katika imani zetu tunaamini kuna pepo baada ya hukumu ya matendo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuwapongeza sana wanawake wa nguvu walioamua kujitosa kulipia ada watoto wao huku baba zao wapo mjini wanazurura. Niwaambie tu ninyi ni wanawake wa nguvu, endeleeni kuonesha upendo kwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Samahani hivi kuna mdogo wangu amenieleza kuwa, kuna chuo kinapatikana Dar es Salaam. Ambacho kinatoa kozi fupi za uhudumu wa maofisini, ambapo wanakutafutia sehemu za kufanya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…