Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,768
- 19,081
Hii ni kwa wataalam wa fedha tu!
Kuna report huwa zinadaiwa na wafadhili kilawanapotangaza calls. Sasa kwa mashirika (NGOs) madogo madogo ambayo hayajapata ufadhili wa kueleweka huwa zinasumbua sana.
Sasa nikawa nawaza humu hakuna wataalam wa kuchakachua mambo wakazifanya hizo kazi zikawa nyepesi? Najua chini ya jua hakuna kinachoshindikana, hebu nimpate mtaalam mmoja anifuate PM tuyajenge.