Constantine Kanyasu, ametoa wiki mbili kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ( TAWA),-
ishughulikie ombi la wanakijiji cha Chunguruma katika Wilaya ya Mafia mkoani Kibaha, la kulipa...
Once upon a time, socialite Jack Pemba washed his hands with champagne but not anymore since he is reportedly chocking on debts.
He claimed he had deep pockets but he has been in hiding since he...
Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Assalaam Aleiqum wapendwa,
Niwe muwazi tu kwamba, miye si mpenzi/mfuasi wa siasa za Rais J.P Magufuli kwani kila mtu anafahamu hali halisi ya kisiasa ilivyo kwa sasa hapa nchini kwetu.
Chini ya...
Nimekumbuka sana miaka ya 80 wakati huo tunatumia sabuni za MBUNI,ILULA,BOBY SOAP,KODRAI.NA MAFUTA YA KUPAKAA YA LADY GUY,YU,SABUNI ZA KUOGEA ZA RUMI KUTOKA KIWANDANI TANGA.HII LEO VIWANDA HIVI...
Bunge letu litunge sheria kabisa timu yoyote ya Tanzania ikienda kucheza nje ya nchi ikafungwa goli tano kupanda juu kuanzia kocha, wachezaji, na wasemaje wawekwe kama dhamana benki ya dunia ili...
Waziri wa Utalii, Dr Kingwangalla, avunja Bodi ya utalii Tanzania (TTB) lakini mwnyekiti wa bodi hiyo iliyovunjwa kabaki kuwa mwenyekiti hasiyekuwa na wajumbe. Ili limenishangaza sana! Kama lipo...
WIZARA ya Nishati ipo kwenye hatua za mwisho za kupata mkandarasi atakayetekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge kwenye maporomoko ya Mto Rufiji Mkoa wa Pwani.
Hayo yalibainishwa na...
KUPITIA Mfumo wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) Serikali imepata zaidi ya Sh bilioni 93.6 fedha ambazo kama sio mfumo huo zingekuwa kwenye mifuko ya watu. Takwimu hizo zilitolewa Dar ea Salaam jana na...
Nikisema Pemba nakusudia kile kisiwa kilicholala juu ya mgongo wa bahari yenye kina kirefu cha maji yaani bahari ya Hindi,na sikusudii ule mji uitwao Pemba ulioko katika nchi ya Msumbiji.
Pemba...
Wakati unawakatia matangazo ya local channel na kusema hawapaswi kuzionyesha kwani ni za bure lakini waonyeshe TBC1 pekee watu walikushangaa lakini kama ilivyo Watz walinyamaza na kudharau.
Leo...
Ebu chukulia mfano umetoka ukiwa na mkeo na mwanao, mmeenda sehemu kupunga upepo mkiwa watatu tu.
Mkiwa mnaendelea kufurahi pamoja unapata wazo la kumpiga picha mwanao kwa ajili ya ukumbusho...
Habari ambazo zinatoka huko Mwanza zinazidi kuleta utata wa sakata la Polisi wa nane na wafanyabiashara watatu wanaoshikiliwa kwa uhujumu uchumi.
Habari zinadhibitisha kuwa fedha taslimu...
Eneo husika na Viunga vyake vya Jirani + Kutokutii Kiapo = Mla Kiapo hadi Kifo / Umauti
Hivi Siku hizi Visima vya Kijitonyama huko Kwenu nchini Tanzania vimeshajazwa Maji tofauti na hapo awali...
Madereva wanao endesha mbasi ya Kampuni mbalimbali nchini Tanzania yaendayo nyanda ya juu Kusini (Mbeya, Iringa), kutoka Dar es salaam leo Januari 19, 2019, wameamua kufuatana bila kuachana mpaka...
Ni za kupikia keki.. Nilimuuliza muuzaji online akanionyesha anazo hizo.. Nlichagua sababu zina maumbo tofauti. Basi kimbembe nlipoamua kueka mixture ya keki.inaleak taratiibu huku pembezoni...
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki...
Jana tarehe 19.01.2019 nikiwa maneo ya KDC Moshi, meta 100 tu kutoka ilipo Ikulu ndogo ya Moshi, lilipita kundi la vijana zaidi ya 16 wakiwa katika pikipiki nane wakienda mwendo wa kasi huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.