Salaam.
Wakuu nimenunua umeme wa kutoka cellcom. Sasa zile namba za luku hazionekani vizuri na aliyeniuzia anadai zike kumbukumbu namba huwa zinapotea pindi anapotoa recept nyingine. Sasa wakuu nifanyeje kwenye hii hali.
Sent using Jamii Forums mobile app