Mrejesho kutoka NSSF

Sinewy

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
365
167
Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya mwisho hakuna cha fao la kujitoa wala kukosa ajira hivyo basi kama unafikiria kuacha kazi, tafuta njia mbadala, au kama ukiachishwa kazi usitegemee kupata mafao yako yote endelea kusubiri mpaka 55 au uanze kuchangia kwa hiari baada ya miezi 6 ya kupokea 33% ya salary!!! Haki ya mungu nyie NSSF mungu anawaona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa inakatisha tamaa kwa kweli.
Mimi nina mzigo wangu kule najifikiria nianze process au niache
 
Kama hujafikisha 55 na umeacha kazi mwenyewe hupewi chochote,ila kama umeachishwa au mkataba umeisha utapewa hicho 33%ya salary yako ya mwisho kwa miezi 6 baada ya hapo unaanza kuchangia kwa hiari mpaka 55yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya mwisho hakuna cha fao la kujitoa wala kukosa ajira hivyo basi kama unafikiria kuacha kazi, tafuta njia mbadala, au kama ukiachishwa kazi usitegemee kupata mafao yako yote endelea kusubiri mpaka 55 au uanze kuchangia kwa hiari baada ya miezi 6 ya kupokea 33% ya salary!!! Haki ya mungu nyie NSSF mungu anawaona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 33% ni kwa sheria gani?
 
Kama hujafikisha 55 na umeacha kazi mwenyewe hupewi chochote,ila kama umeachishwa au mkataba umeisha utapewa hicho 33%ya salary yako ya mwisho kwa miezi 6 baada ya hapo unaanza kuchangia kwa hiari mpaka 55yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuni tupu.
Wanajitakia laana wenyewe wanaopanga mambo haya ya ajabu. Wawape hisa basi wanachama wao kutoka ktk miradi waliowekeza kutumia fedha zao.
 
sidhani kama ulisikiliza maelezo vizuri mkubwa,ni kwamba ukiwa umeachishwa kazi kabla ya sheria mpya kuaza kutumika i mean kabla ya mwezi wa nane na maanisha mwezi wasaba kushuka chini, utalipwa kutokana na sheria ya nyuma fao lako lote, ila kama kuazia mwezi wa nane kupanda utalipwa kwa sheria mpya ya 33%.nahakuna fao la kuacha kazi mkuu,kunafao la kuachishwa. ukiacha mwenyewe tunaamini unaweza kujikakamua mpaka miaka 55.
 
Mimi nimeachishwa kazi april 2018 ninachokiongea kimenitokea mimi wala sijasimuliwa kwa hiyo naongea kitu halisi wala sio cha kusimuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaamni 33% inakutosha kukukimu hadi upate kazi alaf ,55% tunakutunzia kwaajili ya maisha ya uzeeni. Tunahitaji uzeeni uishi kwa ufahari, saivi unazo nguvu chakarika.Hii pia itaongeza nidhamu ya kazi

n
 
Naomba niishie hapa maana naona unanitaftia ban we nani kakwambia nitafikisha 55

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya mwisho hakuna cha fao la kujitoa wala kukosa ajira hivyo basi kama unafikiria kuacha kazi, tafuta njia mbadala, au kama ukiachishwa kazi usitegemee kupata mafao yako yote endelea kusubiri mpaka 55 au uanze kuchangia kwa hiari baada ya miezi 6 ya kupokea 33% ya salary!!! Haki ya mungu nyie NSSF mungu anawaona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafatilia fao langu la uzazi"maternity benefit" kila siku napigwa tarehe, mpaka sasa mtoto amefikisha miezi mitatu sijapewa ni mwendo wa kupigwa tarehe hadi nimeamua kuwaachia

Ni NSSF ya ubungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hizi form zilizotolewa ili tujaze ni za uongo?
IMG_85939028707682.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom