Tazama akili za hawa watu na ufanye utafiti

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,552
9,528
Awali ya yote nipende kuwasalimu
Nyote kwa jina la yule aliye juu awajalie afya njema
Lengo la kuanzisha uzi huu Ni kutafakari akili za hawa watu
Mtu mrefu sana kupita kiasi
Mfupi kupita kiasi
Mnene kupita kiasi
Mwembamba kupita kiasi
Msomi sana
Asiyesoma hata kidogo
Mweusi sana
Mweupe sana
Tajiri sana
Masikini sana
Muongeaji sana
Mkimya sana
Hebu wafanyie utafiti hawa watu uone akili zao kama ziko sawa na na ndiyo utagundua msemo kila jambo liwe na kiasi likizidi sana shida likipungua sana shida
Muwe na asubuhi njema ya ujenzi wa taifa
 
Asiye soma hata kdg hana(ga) shida, yeye haumizwi na ujinga wa katiba mpya, sijui ukomo wa madaraka, udhaifu wa bunge.

yeye akipata mkate wake hana shida
 
Back
Top Bottom