Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,326
Habari?
Fikiria unafanya kazi mahali fulani, labda unalipwa chini ya 700K kwa mwezi na huna mkataba na hao waajiri japo una zaidi ya mwaka kazini, kitu ambacho si salama sana kwako, na waajiri wako hawana kabisa mpango wa kuingia contract na wewe.
Halafu familia inakukalisha chini wanakwambia achana na hiyo kazi tafuta biashara ya kufanya, kisha unaandikiwa cheque ya 20M ili ukaanze biashara. Lakini ni lazima kwanza uache hiyo kazi wanayoiita uchwara.
Kama ni wewe mdau wa JF, utachagua nini? Kati ya twenty (20M) za biashara na kuendelea na kazi ya below 700K kwa mwezi bila contract? Na kama unachagua biashara, utachagua biashara gani?
karibuni kwa mawazo na mitizamo.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app