Aliyoyasema Mchungaji Lyimo mbele ya Rais

Aliyoyasema Mchungaji Lyimo mbele ya Rais

Mheshimiwa rais magufuli,demokrasia ni muhimu,watu wana hofu,hata kama huambiwi na watendaji wako,kama kazi baba unapiga kweli,wewe waache wazungumze maana WATANZANIA hawatachagua maneno bali watachagua kazi,WAPE UHURU WA KUSEMA,,,mwisho wa kumnukuu MCHUNGAJI MANGI LYIMO.(sijui kama ntakualika tena)

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe na majibu basi aliyojibiwa huyu mchungaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliongea point tupu shida ziwapatazo wananchi na uchumi kwa ujumla
 
Lilisema nini hilo zee
Hakusema Lolote Pengo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Amewaambia Wazi Wazi Wasiwe Wepesi Kukosoa Watu Wakati Wenyewe Siyo Wasafi Wana Makandokando Mengi Sana
Ila Kwa Kuwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ana Kifua Kipana Anatunza Siri Nzito Za Viongozi Wa Dini

Yaani Haa😁😀😂😃😄🤣
 
Rais anasema demokrasia ipo na wameruhusu mikatano ya wabunge kwenye majimbo. Lakini tunaona kila mara vikao vya ndani vya wapinzani vikiletewa figisufigisu. Ma RC na MaDC wengine wakisema wazi kuwa hawataruhusu mikutano ya ndani kwenye maeneo yao.
 
Tupe na majibu basi aliyojibiwa huyu mchungaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Amewajibu kwa kusema demokrasia nchini ipo,lkn sio kuandamana,na mikutano hawajazuiwa bali wafanyie sehemu zao,(akimaanisha mbunge afanye siasa jimboni kwake tu)maana yake ni kuwa mwenyekiti wa chama taifa,katibu mkuu taifa,mwenezi wa chama taifa,kama sio wabunge basi hawaruhusiwi kufanya siasa.hiyo ndiyo demokrasia anayoamini mh rais

Polepole na Bashiru majimbo yao ni yepi?
 
Back
Top Bottom