MIKATABA YA KAZI

MIKATABA YA KAZI

Monseur

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
655
Reaction score
526
*Taarifa Muhimu*

Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia. Wanakagua vitu vifuatavyo: -

1. Mikataba ya Ajira
2. Masaa ya kazi
3. Mazingira ya kazi
4. Malipo ya WCF :- (Hii fine yake ni milioni 50 au kifungo cha miaka 5)
5. Masiku yao ya kupumzika.
6. Mshahara unaendana na kima cha serikali?
7. Malipo ya mfuko wa hifadhi ya Jamii.

Haya ni machache katika mengi.

Zoezi hili limeanza mkoa wa Mbeya tayari.


Tuweke kumbukumbu vizuri kuepuka Usumbufu.

# Ni maagizo ya Wizara husika.

*Epuka usumbufu tii sheria*


www.wcf.go.tz

HII IMEKAAJE WADAU!!!!
 
Wakipita kwenu, we sema huyo Mfanyakazi wenu ni mtoto wa bibi wa mjomba wenu!!..
wasikutese kuwaza saana!..
 
*Taarifa Muhimu*

Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia. Wanakagua vitu vifuatavyo: -

1. Mikataba ya Ajira
2. Masaa ya kazi
3. Mazingira ya kazi
4. Malipo ya WCF :- (Hii fine yake ni milioni 50 au kifungo cha miaka 5)
5. Masiku yao ya kupumzika.
6. Mshahara unaendana na kima cha serikali?
7. Malipo ya mfuko wa hifadhi ya Jamii.

Haya ni machache katika mengi.

Zoezi hili limeanza mkoa wa Mbeya tayari.


Tuweke kumbukumbu vizuri kuepuka Usumbufu.

# Ni maagizo ya Wizara husika.

*Epuka usumbufu tii sheria*


www.wcf.go.tz

HII IMEKAAJE WADAU!!!!
Imekaa kiuongo na uzushi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom