Vodaco:tunzo pointi zenu ni utapeli mtupu

Vodaco:tunzo pointi zenu ni utapeli mtupu

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,561
Reaction score
5,245
Kila nikinunua kifurushi kupitia mpesa, nikijaza vocha, nikituma pesa nilikua nikipewa tunzo hatimaye leo nilikua na tunzo 3000 sasa nikaamua niziconvert kuwa pesa niziingize Mpesa si ndio nimekuta thamani yake ni TSH 184 tena hapo wanasema kila nikichange 5% cost wanakata
 
😀😀😀😀 utawatambua lini hawa wahuni Mimi so hangaiki na hii program zao za hovyo kwanza wameniuzi kuniondolea ile just for u ya 1000 ya wiki nzima mkuu
 
Hahahaaaaaaaa. Ulizani itakuwa equal amount

Chagua kusuka au kunyoa
 
😀😀😀😀 utawatambua lini hawa wahuni Mimi so hangaiki na hii program zao za hovyo kwanza wameniuzi kuniondolea ile just for u ya 1000 ya wiki nzima mkuu
washenzi kweli hawa watu kila siku wanabuni njia ya kutumaliza
 
kweli hata kama approximation sio ivo 3000 kwa 184 dyu
Mimi sku ya kwanza nataka ni convert into Tsh skuaminia maskio yangu ikabidi nicheke tu mana ili ufikishe tsh 1000 duh sjui tuzo ngapi kuishi kituzo ni ngumu mno

Chagua kusuka au kunyoa
 
Inaonesha kuna neno ni bingwa sana kuliandika,, soma mstari Wa pili baada ya koma
 
Mimi sku ya kwanza nataka ni convert into Tsh skuaminia maskio yangu ikabidi nicheke tu mana ili ufikishe tsh 1000 duh sjui tuzo ngapi kuishi kituzo ni ngumu mno

Chagua kusuka au kunyoa
maana yake ili nifikishe buku lazima nwe na tunzi elfu 30 na mpaka nipate tuzo elfu 30nadhani ntakua nimefanya miamala karibu yenye thamani ya milion
 
Back
Top Bottom