MWANAMKE mkazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kumkata na kisu shingoni mwanawe wa miezi sita, kutokana na ugomvi baina yake na mumewe kutokana na wivu wa...
Wakati wengine mpaka leo hii wakiwa hawajui Ndege zao zianze kubeba Mbaazi au Ng'ombe au Mbuzi au Mabata Mzinga au Kuku au Tani mbalimbali za Korosho na Mahindi kwenda Mikoa mbalimbali ya nchi yao...
Mwalimu Nocka Mwaisango (28) wa Shule ya Sekondari Kibwe, jijini Dodoma, amefariki dunia baada ya kunyweshwa sumu na watu wasiofahamika.
Alikufa wakati akitokea mkoani Dodoma kwenda kijijini kwao...
Watanzania wawili wamekamatwa nchini Kenya kwa kuingiza bangi zenye thamani ya Ksh 500,000.
Annah Mwisawa(34) na Jackson Josephat(20) walikamatwa wakifanya magendo hayo siku ya jumanne huko...
Habari wanajukwaa.
Hivi karibuni kumekuwa na mvutano wa mamlaka ya Mawasiliano TCRA na Warusha matangazo kwa njia ya Terrestrial na Satellite kwa Maana ya Wamiliki wa Ving'amuzi Vya Tanzania...
Mlinzi wa zahanati ya kijiji cha Katani kata ya Nkandasi wilayani Nkasi mkoani Rukwa Laudifasi Sokoni (60) amejinyonga katika chumba cha kuchomea sindano wagonjwa cha zahanati hiyo kwa kutumia...
Nimetaja mfano wa Mbowe na Matiko kwa sababu kesi yao inafuatiliwa na watu wengi kama ilivyo kesi ya Kitilya na wenzake.
Mara zote wsnapofika mahakamani Kitilya na wenzake huwa wamebeba ndoo za...
... Ni moja ya mji ambao sikutegemea kukuta hii biashara ya kuuza karanga za vijiko na visoda na mihogo kama ilivyo miji ya ukanda wa pwani..
Watu wa miji ya pwani walisifika sana kwa ulaji wa...
Wadau habari,
Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya...
Hii hijja hufanyika kila baada ya Miaka 12 katika Mji wa ALLAHABAD huko India.
Kuna aina Mbili za Hijja hiyo,moja ni kila baada ya miaka 12 na nyigine ni Kila baada ya Miaka 6 ambayo huitwa Ardha...
Ofisa mwandamizi wa Takukuru,Victor Lesuya,ameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu,kuwe,Tido Mhando alikiri kusaini mikataba mitatu na kituo cha habari cha chanel 2 (BVI) bila kushirikisha mtu...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amesema Serikali imelipa Sh887.1 milioni kwa watu wasiojulikana tofauti na inavyodaiwa na upande wa...
MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando, amedai mchakato wa kulitoa shirika hilo kutoka mfumo wa analogia kwenda mfumo wa dijitali ulitokana na maelekezo ya...
Wadau
Naendelea kushangaa kwa huu uwekezaji wa jengo la PSPF PLAZA hapa Dodoma kwani pamoja na jengo kuonekana la kisasa na kuvutia lakini hakuna umeme wa uhakika
Ni ajabu kwa kweli kwa zama...
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita kishule ikiwa bado elimu haijawa na uwiano unaofanana?
Ubora wa elimu haulingani? Kila siku wenye miguu watakua...
Anatembeza chumvi ya packet. Anauza 3 kwa shilingi 1000. Nimeshanaa sana. Chumvi ndio bidhaa ya hali ya chini kabisa kwenye matumizi ya vyakula majumbani. Chumvi ya 300 unaweza kutumia wiki...
Matokeo ya mwanangu kapata Dv 4 ya 35 mean zero, je na yeye anaweza kujakuwa kiongozi huko baadae kama bosi au mkuu wa mkoa au ndio mwisho wake hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasoma katika magazeti ya leo kwa mshangao kabisa.
Shule ya Kikristo, Tumaini Lutheran Seminary ya Morogoro imefungiwa kama kituo cha kufanya mitihani ya Taifa, NECTA.
Kisa: WIZI wa mitihani...
MKAZI wa kijiji cha Kisiwani Nkumba, Muheza mkoani Tanga, Batuli Khalid, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumchoma mtoto wake wa kike kwa kijinga cha moto katika sehemu za siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.