KIFO : Kwanini binadamu tunapenda kujisahaulisha ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wakuu, kuna kitu nyeti sana ambacho binadamu hupenda sana kujisahaulisha , kukipotezea na hatakagi kukisikia ; KIFO ! Wengi wameshakufa, bila shaka mimi na wewe ipo siku tutakufa tu (iwe isiwe) na tutafutika kabisa kwenye uso wa dunia na kugeuka udongo. Udongo umemeza watu wengi sana.

Kifo hakikwepeki na mbaya zaidi huwa hakijulikani siku wala saa. Lakini lazima ufe / tufe. Ni kwa namna gani tutakufa hilo ni swala jingine.

Mechanism ya kufa :
Mapigo ya moyo husimama ; damu husimama ; mwili husimamisha kila kitu na ghafla binadamu huwa wa baridi.

Roho ya binadamu inapokata uchungu wake ni siri ya mtu na Mungu wake. Na stori baada ya kufa ni tungo tata sana.

Unazaliwa kwingine ? Unazaliwa mnyama ? Unaenda kula bata /msoto?
Kuna nini na nani huko na wanafanya nini ?

Kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi?

Kifo hakina huruma.

RIP waliotutangulia mbele za haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa unamaanisha nini. Tukae tukifikiria kifo au ulikuwa unataka kusema nini? Binadamu tumeumbiwa kusahau na kuzoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miili inapumzikaga au hadi roho zinapumzika? Jibu kama ni vyote basi wapumzike kwa amani waliotangulia
.
Kama ni kimoja wapo basi iwe mwisho wa matumizi ya R.I.P
 
Back
Top Bottom