MKAZI wa kijiji cha Kisiwani Nkumba, Muheza mkoani Tanga, Batuli Khalid, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumchoma mtoto wake wa kike kwa kijinga cha moto katika sehemu za siri...
Wasalaam wana jmvi.
Kati ya jambo lilostua watu wengi hapa nchini ni kusikia kuwa shule za seminari za kanisa kushiriki katika wizi wa mitihani na udanganyifu na uku wakuu wa shule hiyo na walimu...
najua Kuna watanzania wengi hawaelewi kuhusu hili Jambo....
natoa mfano rahisi...
darasa Lina wanafunzi 60 mwaka Jana na wakafanya mtihani wakafaulu 45 ....
mwaka huu darasa Lina wanafunzi 80...
Mnamo mwaka 2017-2018, kampuni ya Acacia inayomiliki Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu ilisimamisha wafanyakazi zaidi ya 1000. Hii ilitokana na usimamishaji au usitishaji wake katika kuzalisha...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu tukio la hivi karibuni lililotokea huko Mwanza la kukamatwa kiasi kikubwa cha madini aina dhahabu na fedha taslimu Tshs 300,000,000/=
Katika sakata hilo...
Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika
Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika
View Comments
WAZIRI wa Nchi...
Good day everyone....
I stand here to express my heartfelt feeling of love and appreciation to you...the time I had been with you during my field attachment,had left me with very remarkable...
Nimeona hii kwa baadhi ya taasisi za fedha (benki) ukiingia na simu yako hawataki uitumie kwa namna yoyote iwe ni kupiga, kupokea simu, kuangalia sms au chochote kwenge simu yako.
Binafsi hii...
Mtu tumesoma chuo kimoja, tumeajiriwa pamoja tofauti ni taasisi tu cha kushangaza mishahara inatofautiana kwa kiwango kikubwa sana.
Mfano mtu yuko Shirika la bima na mwingine yuko ofisi ya...
Wanachama walionufaija na elimu ya ujasiliamali wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo.
Mr...
Wanachama walionufaika na elimu ya ujasiliamali Namaingo wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu hiyo na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo...
Guys, habarini za usiku huu. Kuna kitu najiuliza sipati jibu ni kuhusiana na internet ya airtel ambayo mpka leo hii wapo 3G na inaonekana hawatak kabisa kwenda juu kwenye 4G km tigo au vodacom...
Huwa napotatizwa na jambo ambalo ninahitaji kupata ufumbuzi wake,nalileta JF kwa sababu naamini 100% ntapata solution. Wakuu sasa hivi teknolojia iko juu hususan katika hivi vifaa vya kidijitali...
Habar,
Jamani kuna mtu anataka kunitumia ela toka Uganda namdai, ivi kuna njia gani anaweza akatumia ili kunitumia ela??
na mimi Sina account ya bank nilikombaga akiba yote nikafunga akaunt...
Heshima y
enu wakuu...
Naombeni msaada wa formula ya kutafuta malipo ya kiinua mgongo kwa mfanyakazi wa NGO...aliyefanya kazi kwa miaka saba na basic salary ya tsh 530000/-..natanguliza shukrani
Nakumbuka wakati Mwalimu Nyerere anang'atuka madarakani mwaka 1985 katika mikoa mitano aliyotembelea kuwaaga watanzania Morogoro ulikuwa ni moja ya mikoa ambayo alikuja kutuaga nilikuwa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.