Wadau nina hoja naomba kuiwasilisha mbele yenu kwa ajili ya michango

Tatizo nchi ni masikini. Wengine wanawavalisha sio kwamba wanapenda bali ndio walizonazo.

Hata wale unaowaona wanavalia vikofia na tshirts za chama cha majambazi kila siku usiwalaumu.

Ndio nguo alizonazo tu hizo na alipewa bure sasa hana namna ingine.
 
Nimeelewa, Lakini hoja kubwa ni kwa nini tusiwaache watoto wakafanya maamuziwenyewe, Tuwakuze kwa kuwaonesha pande zote ili wao ndio wafanye maamuzi.

Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
 
Back
Top Bottom